Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

Baba yako kafikia cheo gani kikubwa hapa Tanzania?
 
Hahah bwn yule tangu 2017 mpk leo na milele sitamuamini chochote kile atakacho kisema iwe ni story za kubana matumizi au la.
 
Rushwa na ahadi za vyeo.

Hakuna kingine. Tatizo bado hatujawa na tume huru na katiba inayompunguzia mungu wa wapenda vyeo madaraka makubwa...
Unadhani ni kweli Profesa Kabudi amewahi kuishi Jalalani? Hizi tungo Tata tuwaachie waliosoma Ligha.

Inawezekana siku upinzani ukishika nchi, huku waliko sasa kutakuwa Jalalani na itakuwa halali kwao kuwashukuru wananchi kwa kuwatoa Jalalani.

Tujadili vitu vya maana badala ya Kuokoteza misemo Tata na kuifanya ajenda
 
Wapinzani walichelewesha sana maendeleo,nasema uongo ndg zanguuuuuu?
 
Ngoja tuone...
Tatizo wamemsifia sana Waziri Mkuu Bungeni mpaka Rais kaona sasa huyu anatakua kua kama mimi...



Cc: mahondaw
 
Mbona amenyang'anywa jukumu la kuteua baraza la mawaziri na kuendesha serikali, ndo maana anaambiwa kazi yake haina garantii.
 
Joni wa Huyu wa leo ni tofauti na yule wa kwenye kampeni
 
Ila kweli Ualimu wa chuo kama hauna vimiradi na unategemea mshahara tu ,ni umaskini kabisa.
Miradi gani hiyo unaisema? Nikimuona mwalimu wa chuo anafuga kuku, ana daladala, ana bar huyo ni bwege tu! Profesa kama Kabudi alistahili awe na kitabu ambacho ni best seller, awe ni board member wa international community fulani, awe ktk research kubwa ya Afrika kuhusu tawala zetu, nk. hizo zote zimlipe kiasi cha kukataa kuwa waziri mwizi-mwizi wa pesa za wizara.
 
Vitabu nani watasoma?Watanzania sio wasomaji.
 
Huyu baba amepitia mateso makubwa sana ya kisaikolojia.
Sijui akijifungia chumbani kwake huwa anawaza yepi!
 
Huyu baba amepitia mateso makubwa sana ya kisaikolojia.
Sijui akijifungia chumbani kwake huwa anawaza yepi!
Chuma Hicho ~~~~πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
Your browser is not able to display this video.
Alivuruga
 
Hatimaye yeye mwenye guarantee tumemfukia.

Asiye na guarantee anadunda na cheo chake.
 
Yaani asingetoboa 2022,,kipindi hicho bashite ndo ameenda kusomea uongozi sijui wapi huko,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…