Panda Kapesi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 345
- 220
ngoja siku moja na wewe yakukute ndio utakuja kuelewa mwenzako wanachokizungumzia. hakuna aliye salama hata ujikombe vipi. it is just a matter of when and not if
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna dikteta muoga duniani na yote ni kutokana na kwamba wao ndio wanakuwa sheria na katiba na ukiona kiongozi ni muoga jua anaogopa kuvunja sheria na katiba.
Sent using Jamii Forums mobile app