Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Sasa dikiteta si anaweza kuheshimu hizo sheria ulizoelezea hapa?Hakika JF sasa low IQ imechukuwa nafasi. Hill ni jambo LA kikatiba kama vyama vyenyewe vilivyo vya kikatiba.
Haipendi ruzuku na havipendi vyama vya upinzani, lakini hana LA kufanya zaidi ya kufanya ukandamizaji tuu.
Atunge sheria ya kufuta ruzuku uone jinsi chama chake kama hakijawa cha kwanza kufa au aone atakavyo shukiwa na wafadhili wake kama alipo tangaza kuhusu watoto wa kike na kisomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app