ndiposa ujue duniani kuna madikteta uchwara kama Lissu alivyosema!Hakuna dikteta muoga duniani na yote ni kutokana na kwamba wao ndio wanakuwa sheria na katiba na ukiona kiongozi ni muoga jua anaogopa kuvunja sheria na katiba.
dikteta uchwara kama Lissu alivyosema!Dikteta mwoga maana yake nini mkuu
Samahani mkuu, hivi Uhuru wa kutoa maoni na kujieleza unahisisha mambo yepi?
Hilo nakuachia wewe ung'amue. Nisije kuropoka kama Dr.Rutengwe/Kabudi (alipotumbuliwa/alivyoteuliwa toka jalalani).Ndio nami nikakuuliza wewe umesoma?
Ndio nami nikakuuliza wewe umesoma?
Samahani Kama utakwazika mkuu, umesoma mada inahusu nini??
Kuna dikteta anafuata katiba? Au hujui maana ya katiba.Ruzuku ipo kwa mjibu wa katiba na sio matakwa ya Magufuli alivyo na roho mbaya kama yangekuwa matakwa yake angekuwa ameshasitisha!
Sijui kama nitaweza kukusaidiaUnaposema mnufaika unakuwa na maana gani, hebu tuanzie hapo kueleweshana mkuu.
Kujiita tu yeye ni rais ni kufata katiba maana nje ya katiba hakuna raisKuna dikteta anafuata katiba? Au hujui maana ya katiba.
Naona bado unaendeleza misamiati, dikteta uchwara ndio nini?
Dikteta mwoga maana yake nini mkuu