Panda Kapesi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 345
- 220
Hakuna dikteta muoga duniani na yote ni kutokana na kwamba wao ndio wanakuwa sheria na katiba na ukiona kiongozi ni muoga jua anaogopa kuvunja sheria na katiba.
Hata mlevi anaweza kunywa kinywaji chochote lakini sio sumu.Kama ruzuku ipo kwa mujibu wa sheria ina maana kila anachofanya kipo kwa mujibu wa sheria kwa hiyo udikiteta mnaosema ni porojo tu,
kwa sababu kama ni dikteta ina maana anavunja sheria, sasa inamshinda nni kuvunja hiyo sheria ya ruzuku ambayo ipo kwa mujibu wa sheria?
Unafikiri madikteta huwa hawafuati sheria kabisa?Angekua dictator asinge fuata hata hiyo sheria! Ingekua ni mwendo hisani tuu !
Na angekuwa dikteta angefuta. Dikteta gani atekeleze matakwa ya katiba?Ruzuku ipo kwa mjibu wa katiba na sio matakwa ya Magufuli alivyo na roho mbaya kama yangekuwa matakwa yake angekuwa ameshasitisha!
Unajua maana ya dikteta?
Hicho ndo kitu pekee unachokiweza na si kujibu hoja, uwezo wa kujibu hoja huna ndio mana umeandika hivyo.Dam55, Katika parameters kumi zinazotaka tujue iwapo wewe ni mjinga au sio mjinga, nane zikaonyesha wewe ni mjinga na mbili zikakataa, Kwa hiyo wewe utakuwa ni ..........
Ukijaza nadasi iliyo wazi hapo kwenye desh desh ...hoja yako ya Udikteta itakuwa imejibiwa kikamilifu. Ahsanta
Sent using Jamii Forums mobile app
Takwa la kikatiba!!?, Dikteta gani anayefata matakwa ya katiba??Whatever you say doesn't change the Truth.
Ruzuku si uhisani wa anayetawala. Ni takwa la kikatiba, hivyo kulitekeleza yeye hakutegemei wema wake.wananchi kuoewa maji ni haki yao ya maingi, haihitaji huruma ya kiongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atazuia vipi wakati yeye kupitia chama chake ndiye anapokea ruzuku kubwa zaidi!?
Hayo ni maneno ya mtu aliye ishiwa hojaangoja siku moja na wewe yakukute ndio utakuja kuelewa mwenzako wanachokizungumzia. hakuna aliye salama hata ujikombe vipi. it is just a matter of when and not if
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa, kwenye Nchi yetu kuna watu wanaamini Raisi akichaguliwa basi kila kitu chake hadi na kodi zetu na serikali inawahurumia tu ila sio wajibu wake,watu wajue haki zao kwanza.Dam55,
Hili ndiyo tatizo kubwa la Watz wengi.Wanadhani "ruzuku na huduma" mbali mbali zitolewazo na serikali kwa raia ni hisani. Ni umbumbumbu wa waliosoma na wasio soma!
Kwa wenye kutambua haki,wajibu na Katiba rais ni raia aliyepewa jukumu la kusimamia na kuongoza shughuli za nchi na siyo kila kitu. Ruzuku kutolewa ni "takwa la Katiba" yetu ya sasa (licha ya mapungufu na kukanyagwa/kusiginwa) wakati mwingine. Tutambue HAKI NA WAJIBU kwa kila mmoja wetu kwa nafasi tulizonazo ktk jamii.
Utajifunza jamboHalafu ndio iwe nini Sasa.