Rais Magufuli ni lazima atetewe kwa nguvu zote dhidi ya udhalimu wowote

fazili, Mi namtetea kwenye haya unamwonea tu.
Kweli hawezi kuwa Malaika.

Ila Kama anajitahidi.
Tunamsuport kiaina upinzani mda mwingine inazingua.
Huwezi kupinga kila kitu.

Vingine fanya Kama huvioni.

Ni kutuzinguua wanachi tu[emoji4]
Akipewa ushauri; ooo kapingwa, katukanwa. Hivi kuna nini huko?
 
fazili, Mi namtetea kwenye haya unamwonea tu.
Kweli hawezi kuwa Malaika.

Ila Kama anajitahidi.
Tunamsuport kiaina upinzani mda mwingine inazingua.
Huwezi kupinga kila kitu.

Vingine fanya Kama huvioni.

Ni kutuzinguua wanachi tu[emoji4]
Inaonekana wewe ni miongoni mwa mataga mliomezeshwa neno "wanapinga kila kitu"! Kutofautiana mitazamo hata approach ya masuala, haiwezi kuwa tafsiri yake ni 'kupina kila kitu'. Mnapombadili mwanadamu mwenzenu na kumfanya kuwa sawa na Mungu, ndipo mnapoharibikiwa maana mnaanza kumwona kuwa ni kiumbe asiyekosea. Mna matatizo sana mataga!
 
Jibu haya
1. Kama ni lulu wasiwasi wako unazaliswa na nibi?
2. Je hiyo lulu umeina wewe tu wengine hatuioni?
3. Kwanini unatumia nguvu nyingi sana?
 
fazili, Mi namtetea kwenye haya unamwonea tu.
Kweli hawezi kuwa Malaika.

Ila Kama anajitahidi.
Tunamsuport kiaina upinzani mda mwingine inazingua.
Huwezi kupinga kila kitu.

Vingine fanya Kama huvioni.

Ni kutuzinguua wanachi tu[emoji4]
Ivi ben saanane angekuwa ndg yako ungejifanya kama huoni?
Pumbavu, ninyi ndy mnasababisha tupingwe burn na mods walioupande wenu
 
Magufuli kamuozesha mama take kwa jogoo, una taarifa?
 
Hata kama unasaka uteuzi si kwa uongo huu, kafanya makubwa yapi? Maendeleo siyo Hisani za CCM maendeleo siyo pesa binafsi zake toka mfukoni, Maendeleo ni lazima kwa watanzania kwani ni pesa zao za walipa kodi, Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inatumika kudidimiza demokrasia kuwanunua wabunge madiwani kurudia chaguzi ndogo kudhoofisha chadema badala ya maendeleo.
 
Jibu haya
1. Kama ni lulu wasiwasi wako unazaliswa na nibi?
2. Je hiyo lulu umeina wewe tu wengine hatuioni?
3. Kwanini unatumia nguvu nyingi sana?
1. Sijaonesha wasiwasi wowote ndugu yangu. Labda onesha ni wapi nimeonesha kuwa na wasiwasi.
2. Lulu hii imeonwa na wengi. Nina hakika hata wewe umeona ila basi tuu Ni hulka ya kupinga kila Jambo
3. Matumizi ya nguvu nyingi hayapo ila nimeona niwakumbushe umuhimu wa Rais Magufuli nyie ambao mnapinga tuu na kutaka kuwaaminisha wengine kuwa hakuna cha maana. Japo vitu vinaonekana ila hatutanyamazia udhalimu wowote dhidi ya mbeba maono namba moja wa taifa
 
Hakuna alichofanya zaidi ya kukiuka katiba kwa kuzuia mikutano ya siasa kuminya uhuru wa vyombo vya habari ili watu waogope kusema mabaya yake.
 
Watu Kama wewe ndio sababu kubwa ya kuwepo sisi. Ukweli utasemwa tuu na tutaendelea kuwapinga kwa hoja. Tunaweka ushahidi hapa wewe endelea kubisha
Hakuna alichofanya zaidi ya kukiuka katiba kwa kuzuia mikutano ya siasa kuminya uhuru wa vyombo vya habari ili watu waogope kusema mabaya yake.
 
Nini maana ya upinzani? Kazi ya upinzani kwa Tanzania hasa Tanganyika lazima wapinzani wapinge kila kitu kwa sababu hakuna kinachofanywa na CCM kikakosa kasoro, vyote vya CCM vina mapungufu mengi ikiwemo ufisadi 10%kwenye miradi yote mikubwa.
 
Huyu hata akifa mabaya yake lazima tuyaseme kama ambavyo hatukusahau mauaji ya Mwembe chai na Pemba pia hatutasahau watu kutekwa na kuuawa kisha kuokotwa wakiwa wamefungwa kwenye viroba kamwe hatutasahau.

Walikuwa maharamia wenzako
 
Watu Kama wewe ndio sababu kubwa ya kuwepo sisi. Ukweli utasemwa tuu na tutaendelea kuwapinga kwa hoja. Tunaweka ushahidi hapa wewe endelea kubisha
Kajenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge , inaelekea wewe hujui mapungufu ya mtukufu umekariri miradi ya 10% pekee
 
Kwahiyo rais kafanya upumbavu ndivyo unavyosema? Ok sawa uko on record.

Cc: watu wasiojulikana
Bcc: mataga
Hivi ndio vitu sipendi. Kwani watanzania tunakwamia wapi? Kwanini usijadili mada kwa kutoa hoja?
 
Kama hujui anahusikaje nenda kachukue buku 7 yako hapo lumumba then call it a day.
Darubini yenyewe ya mbao, Hembu thibitisha hili?

Mkidakwa ili kuthibitisha Maneno yenu, mnabaki mnalialia na kutia huruma bila kuthibitisha
 
Mkuu bado sijajua Kati yangu mimi na ww n nani mwenye kichwa kibovu ila tutamjua tuu. Tuvute subira ila wakati tunaendelea kusubiri unaweza kuniambia kuna uhusiano gani kati ya maendeleo yanayoonekana kwa macho na mtu kupigwa risasi

Kaa kwenye mada
CIA na FBI waliopo ubalozi wa marekani hapo Dsm wanalo file lote juu ya Tukio la shambulio la Tundu lisu endelea kusubiria utapewa taarifa zote.
 
Hivi ndio vitu sipendi. Kwani watanzania tunakwamia wapi? Kwanini usijadili mada kwa kutoa hoja?
Hajo ni kwamba huyo mtukufu unayemtetea ana mapungufu yake kubali kuyasikia usiwe mkaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…