Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

bashite na cheap zake
 
Next step ni kubadilisha katiba?
 
pye Chang shen unataka kusema kuwa kati ya wanachama 8m+ hakuna mwanaccm mwenye weledi wa kutuvusha hiyo 2025 to 2035 mpaka awe Magufuli!?
 
Yaani vijana wa yule mfuasi mwenye matatizo ya akili kichwani mna shida kweli kweli, yaani mnadhani eti kawaogopa ninyi wakati katiba ndivyo ilivyo. Natamani nyie wanafiki mkosee then muende lupango mkaolewe.
lupango my fooots ,, mbona husemi mtindio wa nanihii unamuona yupo sawa hahahahaha huwa kichaa anamuona mwenzie kichaaa zaidi
 
kwakuwa watanzania wengi ni wajinga akisema anataka kuongoza tena bado ccm wengi watapiga matarumbeta.
 
Wananchi ndo wanamuomba, Yeye kasema hataki. Ila badae wakizi kumuomba anaweza akakubali maombi yao.

Ni sawa na kuchumbia tu ama wengine wanaita kutongoza.
Kwa vile katamuka kwa maneno yake mwenyewe sasa ni kazi kwa wanao taka abaki kuendelea kuomba. Kuanzia mwaka 2021 kitaeleweka.
 
Kwa hiyo unaichukia ccm wakati huo huo huna mbadala wake?
Hapo sasa, ahamie kusiko na vyama. Lambda mbinguni na ili afike mbinguni afe kwaza. Kwahiyo ajinyonge.
 
Asije akageuka kama wanavyo geuka sasa kuhusu lipumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…