Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
bashite na cheap zakeKwani nani angemruhusu kuendelea zaidi ya miaka 10 hata hivyo? Hiko kilikuwa kimbelembele cha baadhi ya watu wajinga. Hatuwezi kubadili katiba eti sababu ya rais Magufuli utendaji wake wa kazi. Kwa hiyo ina maana akichaguliwa rais asiye na utendaji mzuri awamu ya kwanza, hivyo tutabadilisha katiba tena ili apunguziwe tena miaka ya kutawala?? Hiyo ilikuwa hoja ya kipuuzi hii Bongo siyo Rwanda.