Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Si Mara ya kwanza kukana matamshi yake hata hili atalikana mwishoni mwa utawala wake, Alafu kwani nani kamwambia atatawala miaka kumi?
 
Magufuli ni mtu anayefuata utaratibu; sikuwahi kuwaza kuwa angevuka muda uliowekwa na katiba.
 
Inafanana tu na kauli hizi:
.......sitowachagua wapinzani.......
.......nitapandisha madaraja na increments zote za wafanyakazi mwaka huu......
Lipi jipya unataka kusikia kwa wanasi-hasa!!!

hata kagame mwanzoni aliulizwa akasema hivyo hivyo hato ongeza muda, halafu badae ukafanyika mpango kama vile wananchi ndio wana mlilia abaki madarakani, tuombe uhai tutayaona mengi tu
 
sawa awaambie wale wa chama chake ambao walishaanza kumkalia vikao kimyakimya
 
hata kagame mwanzoni aliulizwa akasema hivyo hivyo hato ongeza muda, halafu badae ukafanyika mpango kama vile wananchi ndio wana mlilia abaki madarakani, tuombe uhai tutayaona mengi tu

Mlitaka jibu gani nyie ngokwa???? Kazi yenu ni kupinga kila kitu.Ngoja tuchukue viwanda vyetu mnajifanya wawekezaji
 
Sasa wale wa kampeni pendwa ya Magufuli Baki wanaweza kuendelea.
 
Watz kama waisrael tuu Kuna mda walimwambia Musa bora uturudishe utumwani... Magu ni wa kukaa miaka hata 20 sababu hakuna mwingne mwenye hulka yake tz kwa Muda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani tangu awamu ya kwanza ilipoanza,kila awamu ilimaliza yote mazuri waliyoanza,acha kujitoa ufahamu wapo watanzania wengi wenye uwezo zaidi yake,labda kama akiliyako imeganda tu kwake.
 
MLITAKA JIBU GANI NYIE NGOKWA???? KAZI YENU NI KUPINGA KILA KITU.NGOJA TUCHUKUE VIWANDA VYETU MNAJIFANYA WAWEKEZAJI
mnahela nyie? mnajua hata viwanda vinendeshwaje? kama mishahara na posho za watumishi hamuwezi kulipa ndio mtaweza kuendesha viwanda? acheni kujifariji kwenye hamna.
 
Pro
Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
Prof. Kabudi anatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…