pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Hata binadamu anapevuka miaka 18 kwa hiyo 10 haitoshi 20 sawaUmejuaje kana hawezi kuyakamilisha ndani ya miaka 10 bali ishirini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata binadamu anapevuka miaka 18 kwa hiyo 10 haitoshi 20 sawaUmejuaje kana hawezi kuyakamilisha ndani ya miaka 10 bali ishirini?
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Hatutakubali wagala waendelee kututawala,mwaka 2020 ni zamu yetu!Ina maana upinzani na ndoto za mamvi zimezimwa, ana uhakika wa kushinda uchaguzi ujao.
Inafanana tu na kauli hizi:
.......sitowachagua wapinzani.......
.......nitapandisha madaraja na increments zote za wafanyakazi mwaka huu......
Lipi jipya unataka kusikia kwa wanasi-hasa!!!
Hata binadamu anapevuka miaka 18 kwa hiyo 10 haitoshi 20 sawa
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
si alijotokeza mwingine wa kampeni ya toka magufuli ndo ishu ikafia hapo ya baki magufuliKwahiyo yule wa kampeni ya Baki Magu akalime?
hata kagame mwanzoni aliulizwa akasema hivyo hivyo hato ongeza muda, halafu badae ukafanyika mpango kama vile wananchi ndio wana mlilia abaki madarakani, tuombe uhai tutayaona mengi tu
Ile kampeni mfu inasema "magufuli baki na msimano wako". Wanapaswa waendelee kumkumbusha abakie na msimamo huohuoSasa awaambie wale wa kampeini ile wasitishe
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
kwani tangu awamu ya kwanza ilipoanza,kila awamu ilimaliza yote mazuri waliyoanza,acha kujitoa ufahamu wapo watanzania wengi wenye uwezo zaidi yake,labda kama akiliyako imeganda tu kwake.Kama hataki ni yeye sisi bado tunamtaka akae miaka 20 ikiwezekana bila uchaguzi kwani katiba si msahafu tubadilishe tu hicho kipengele. Lengo ni tumpe muda wa kutosha akamilishe yote mazuri aliyoanza ili atapoondoka tuwe na akili ya kuyaendeleza big up mzee
mnahela nyie? mnajua hata viwanda vinendeshwaje? kama mishahara na posho za watumishi hamuwezi kulipa ndio mtaweza kuendesha viwanda? acheni kujifariji kwenye hamna.MLITAKA JIBU GANI NYIE NGOKWA???? KAZI YENU NI KUPINGA KILA KITU.NGOJA TUCHUKUE VIWANDA VYETU MNAJIFANYA WAWEKEZAJI
Prof. Kabudi anatosha.Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
Watz kama waisrael tuu Kuna mda walimwambia Musa bora uturudishe utumwani... Magu ni wa kukaa miaka hata 20 sababu hakuna mwingne mwenye hulka yake tz kwa Muda huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona povu linakutoka kama umekunywa dawa ya kuoshea ng'ombe?Safi sana. Amewaumbua wapumb*&$# wengi waliojaa nchini!