Hawalazamishi wala hawana uwezo wa kulazimisha. Ongea na Diwani wako, na Mbunge wako, waambie kuwa hutaki aongezwe muda. Hayo ni maoni yako, wewe mpiga kura mmoja, Diwani naye atakusanya mwoni ya wapiga kura wote.Toka Uhuru tulikuwa na uongozi wa Nyerere, watu hawakuhoji juu ya miaka yake ya kukaa madarakani.
Inawezekana hatukuwa tunajua Nini maana ya uongozi bora kwakuwa hatukuwa na jerea.
Ilipokuja awamu ya Mwinyi watu wakaanza kuulinganisha na uongozi wa Nyerere,wakaanza kutoa kasoro.
Hali hiyo imeendelea mpk awamu hii.
Watu kaanza kuyaona hata makosa ya Nyerere kwa kulinganisha na awamu zilizofuata.
Tofauti ya awamu hii na zingine ni moja tu,WATU
KUHOJI SUALA LA KUMUONGEZEA MAGUFULI MIAKA YA KUTAWALA.
Jambo hili mpaka awamu ya Kikwete halikuwepo.
Hii inaonesha awamu hii haikubaliki kabisa na watanzani85%
Ila inakubalika na wachache wanaomzunguka mkuu, Kama kina Butiku, makamba Yusuf na ccm wachache wanaomega mkate pamoja na mkuu.
Hivyo ccm, msiwalazimishe watanzani kubadiri Katiba yao kwa kubadiri ukomo kwaajili ya magufuli.
Ccm mtambue kuwa watanzania wanazidi kuelimika, wanazidi kupata ujasiri, ipo siku mtatusababishia vurugu na umwagaji wa damu.
Watanzani watadai haki yao ya kikatiba Kama kwa mkoloni wa ndani.
Sasa tumetambua kuwa kumbe mbunge wa chemba mlimtuma kuchokoza mada ili kupima upepo.
ACHENI JAMBO HILI HARAKA
Na mbunge hivyo hivyo, watakwambia maoni ya walio wengi. Ukiona wengi wanataka aongezwe, nenda kwa tundulissu, ema kule aliko EU, au kupitia kwa Mnyika Ufipa Street Kinondoni.
Watakupongeza, watakupokea kwa mikono miwili. Sasa tuvumiliane hadi 2025 Uchaguzi Mkuu wapambanishe Ilani. Mkishinda, mmeshinda, hatoongezwa. Lakini mkishindwa tafuta shoka uanze kukata tamaa ukisubiri 2030,