Alijiandaaa vizuri halafu ana confidence wengine sikuona kama wana confidence.Nadhani Rais pia atakuwa kamuelewa sana Mukandara
Mh. Rais asiwachomoe wote huko mavyuoni ili kuepuka kutengeneza vaccum ya wataalam waliofundwa vyema.Naomba aliye karibu / jirani na Profesa Mkandala ( Mtani wangu wa Kihaya ) ampe mkono wa hongera kwa niaba yangu na amwambie kuwa GENTAMYCINE nimemkubali na namkubali sana kwani ' uwasilishaji ' wake umenifanya nione tofauti kubwa kati ya Msomi wa Chuo Kikuu na Mhitimu wa Chuo Kikuu.
Ni Mwerevu sana
Ni Mzungumzaji mzuri
Ni Mkweli na hana Unafiki
Ni Mwenye Kujiamini na anakiamini kile anachokiwasilisha
Ni Mchambuzi wa Masuala aliyetukuka
Ni Hazina ya kweli kwa Wasomi wajao
Ni Mwanafasihi mzuri sana huku akijua kucheza vyema na ' Diplomatic Language '
Sijawahi kuona Mhaya ' Popoma ' na sishangai kuona au kusikia kwamba hata hapa Tanzania Elimu ilianzia Kwao Mkoani Kagera ( Bukoba ) ikaja kuweka Makao Makuu yake Kwetu Mkoani Mara ( Musoma )
Shikamoo Profesa Mkandala.
.Alijiandaaa vizuri halafu ana confidence wengine sikuona kama wana confidence.Nadhani Rais pia atakuwa kamuelewa sana Mukandara
Katoliki ni ufalme tofauti na siasa kali akina Prof Lipumba!Mchungaji kanifurahisha Sana kawachana live madc na rc pamoja na tume ya uchaguzi huyu ndiye msomi huru
Inaudhi sana, ninapoona watu hasa wanawake wanajitenga na issues za msingi ila kupiga midomo wakidai haki sawa, unajua huwezi kudai haki usiyoijua. Cha ajabu niko zangu porini huku nimetafuta hakuna ata redio moja inarusha huu mdahalo.Dah mkuu unajua kuchunguza aisee huu mjadala ni muhimu kwa nchi yetu bwana hafu wanawake tunakwepa haya mambo though yana tu affect wote
Sio kweli mkuu IQ yake haiko 100% ipo angalau 60%.
100%hawa ma dent wameandaliwa nini??
Kwel mdau mchungaji kaua kabisa wengine wanajikanyaga tu full kusifiaKatoliki ni ufalme tofauti na siasa kali akina Prof Lipumba!
Point tatu na magoli kibwena nje njeOne sided kongamano
Inaudhi sana, ninapoona watu hasa wanawake wanajitenga na issues za msingi ila kupiga midomo wakidai haki sawa, unajua huwezi kudai haki usiyoijua. Cha ajabu niko zangu porini huku nimetafuta hakuna ata redio moja inarusha huu mdahalo.
Nafuatilia masalia ya hapa jf, nikiwa dsm nilikuwa mchangiaji na mhudhuriaji mkubwa wa vitu vya hivi.
Acha kupiga mkwara ww ukifanya chochote amabacho ni unethical bila kujari ww ni nani ndani ya ccm tutakushughulikiaI will be counteracting & intelligently opposing you with vivid facts..!! Ukiona mtu mrefu strong & colored na in CCM uniform ndio mm..!! Plz usikae beside me anything painful and unethical can happen..!!😳
Alijiandaaa vizuri halafu ana confidence wengine sikuona kama wana confidence.Nadhani Rais pia atakuwa kamuelewa sana Mukandara
Tatizo mlo!Wachangiaji wanamsifia rais badala ya kufanya uchambuzi yakinifu!
Shida hamjui nguvu yenu..!Na kosa ndo Hilo linalotokea mwishowe ikifika uchaguzi wanawake wengi hutumika ka daraja kwa vile wengi uelewa sio mpana sasa. Wanawake sisi tuna nguvu sana yamabadiliko