Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Upumbavu anaozungumza Bashite zero brain.Eti vijana wanapewa ajira na wanapewa kipaumbe.He's not serious at all. Vijana wengi wako mtaani kwa sababu hawana ajira hata mazingira ya kujiajiri ni magumu.Lakin angalu Waitara amesema vizuri kuna tatizo la ajira.

Yeye bashite analeta mapambio tu.
 
Ajabu bashite anamsemea Rais, ajabu hii
 
Basi una matatizo makubwa sana.
 
Huyu pekee ndio kauliza kwa makini.
 
Hili limepangwa mahususi kwa ajili ya kumsifia mheshimiwa.

Hebu tumsikilize Prof Shivji! Shivji anapiga kijembe mkakati wa viwanda na kupendekeza kuwa kilimo ndo unapaswa kuwa mpango mkuu!

Kabudi anasifia mwanzo mwisho!
 
Bashite ni zero brain anajifanya kupangua hoja ya mchungaji Kiana kumbe limemchoma haswaa na dawa imemwingia na wenzie walijue hilo kuwa watu wanewachoka na style yao ya uongozi
 
Sidhani kama kuna majibu kwakweli
 

Hakuna anayejaribu kuzungumzia siasa humo ndani,wote wanakimbilia uchumi. Hiyo ndio hali halisi.​
 
Nimefurahishwa na kauli ya Prof. Issa Shivji kuwa ni mwalimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa miaka 50 lakini kwa sasa ni mwanafunzi wa kuelewa zaidi 'fikra za Hayati Mwalimu Julius Nyerere'. Ni lazima tumwelewe maana yake. Kichwa hiki kina madini sana. Tuombe atugawie akiwa bado ana nguvu ya kuyakumbuka yote.

Hongera kwa waandaaji wa Kongamano la leo

Nelson,
Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…