Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Jamaa anacheka na kupiga makofi peke yake wakt kabudi anampamba ndio atakayo hayo
 

Hapo ni sawa ...inaitwa state capitalism...Japan ndivyo ilivyofanya na pia Malaysia na nchi nyingi za South East Asia
 
Ujinga wake ni upi???!!! Ulitaka wewe aseme nini...ingekupendeza wewe kama huyu Profesa angesema kitu gani???!!!
Ilipaswa afanye kama wenzake mfano prof.Mukandala,prof shivji alivyojibu.

Maana ya kongamano sio kuainisha mazuri au mabaya bali ni tathmini ya hali ya uchumi na siasa. Je,wewe unaona kuna tathmin inayofanya au ni kuainisha tu. Labda angalia tena maana ya tathmini
 
Hii Palamagamba ni 0 (ziro), mjadala umegeuka porojo na kusifia upuuzi

Sijaona hata mawazo yake nini kifanyike tujikwamue tulipotoka, kabaki kukariri maandiko ya watu na kutwambia.

Ujinga mtupu.
 
Prof.Shivji pia Kajitahidi
Yes katika eneo la viwanda amesema vyema hasa kuwakumbusha kuwa wakuu wasikimbilie kuongeza idadi ya viwanda na kujisifu kwa kuwa na idadi kubwa ya viwanda ambavyo vinaweza visiwe productive badala yake vianzishwe kweli viwanda ambavyo vitakuwa na mchango madhubuti na tija kwa taifa
 
kuna tafiti nyingi sana ili zimefungiwa katika ngome za lugha na wenye ufunguo ni wasomi.
Hakika namuunga Mkono Pro.. Hizi tafiti zingekua kwa lugha yetu wengi wangezisoma.. Utashangaa Mtu anasoma MA ya kiswahili (uzamili), tafiti inaandikwa kwa lugha ya kigeni
 
Siasa za pesa na rushwa zimeisha kweli? anaongea toka rohoni??
 
Hahaha hivi hawa wanaotolea mifano ya Russia, China sijui wapi wapi kwa nini tunakuwa maskini hatuwafikii leo China ni donor country sasa kwa nini sisi ni maskini mpaka tukalambe matako ya WB. Tunatajiwa majina ya waandishi wa vitabu, mavitabu, concept na maneno magumu magumu LAKINI kwa nini hatuwi matajiri sasa jamani, tukatumia mavitabu yote tukawa na sisi ma-donor
 
Ningekuwa Raisi natafta washauri wa aina mbili mana aliowapa cheo hawamsaidii ni wanafiki wa kubwa mkuu
 
God bless that Padre! He talked more sense in two minutes than all the professors put together. Shame on them!
 
Kabudi anashadadia mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…