Magufuli anajua zaidi yako wewe sabb kipindi cha vita alikuwepoHalijui hata wakati wa vita ya KAGERA Ghaddafi alimpa MAKOMBORA YA KIVITA na ASKARI IDDI AMINI na akashiriana KUUA WADANGANYIKA.
Ndio matatizo ya kuokota MAZWAZWA SHIMONI na kuyakabidhi mamlaka
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]Hatuwezi kushangaa ulipatitaje huko kwani wewe ni bingwa wa kukariri. Kama uliweza kukariri vitabu vya Lambert vol 01 hadi 04 enzi zako za sec tutashangaa nn hapo???
Anaweza akatema yai viza! Akachafua hali ya hewa!Angetema tu yai hapo hapo kukata mzizi wa fitina.
Hili ni Kongamano la Hali ya uchumi na siasa au Kongamano la "kusifu" na "kuabudu"??
Amethibitisha kuwa yeye ni full blown dikteta?Kutokana na Maongezi ya Rais leo, ni dhahiri kabisa, hapendi kukosolewa na hayuko tayari kukosolewa.
Tujipange sana!! Kuishi bila kukosoa.
Ndio.Lambert were chemistry books?
nakushukru mkuu kwa kunipokea na kufarijika na mawazo yangu finyuShikamoo Mkuu! Na nimependa sana hapo ulipoandika " kuna Watu ambao hawajasoma hata Kidato kimoja ila ni very intelligent ". Umenigusa mno na umenifariji pia.
Na maprofesa wanamshangilia! Very sick state!Katiba ya Warioba itaendelea kusubiri..'huu sio wakati wa Ku argue,ni wakati wa kufanya kazi..' Rais
Jamani siku mnayotakiwa kushangaa ni pale PAPA atakaposwalisha MAKKA.Ni wewe au kuna mtu amehack account yako ?
Mvunja katiba hawezi kutaka katiba mpya.Wale wapigaji wanaovizia posho za bunge wakati mchakato wa kuijadili katiba mpya ukiendelea, leo wamepewa jibu moja mujarab kabisa.
Hela ziende zikajenge miundo mbinu na Stieglers Gorge kuliko kuishia matumboni mwa watu.
maana yake aliyrmfanya makondakta awe vile ni mzee wariobaMakonda kakalishwa na mzee warioba.
Maana yake nini?