Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Amesahau kwba yeye alipata uwaziri baada ya kuwa mbungeAmesema hawezi kutenga fedha kwa ajili ya katiba mpya na kwamba ni kula pesa bure ambazo angezitumia kujenga standard gauge railway line. Kwa kauli hii na kama angekuwa na uwezo angefutilia bunge la Tanzania ili apate pesa za kujenga standard gauge!!!
ZILIZOTUMIKA KWENYE UCHAGUZI WA BUNGE HAZIONIAmesema hawezi kutenga fedha kwa ajili ya katiba mpya na kwamba ni kula pesa bure ambazo angezitumia kujenga standard gauge railway line. Kwa kauli hii na kama angekuwa na uwezo angefutilia bunge la Tanzania ili apate pesa za kujenga standard gauge!!!
Zile tofauti zao watakuwa wameshamalizaNaona Makonda na mzee Warioba wamekaa pamoja.
Unatakiwa utambue kwamba Wananchi huwa hawawachagui hao makahaba wa kisiasa. huwa wanapitishwa Na polisi na tume.Hakuna cha katiba mpya wala ya zamani.
Iliyopo inatosha Sana,kwa maana hakuna kitakachobadilika!! Na hizo chaguzi ndogo zinazorudiwa no sababu ya wanaohama chama sasa uwaulize wananchi wanaoenda kumchagua tena huyo huyo wana machungu na kodi zetu au la??Kama ndio basi Hakuna haja ya kumchagua if no basi wamchague mwingine maana tunaoumizwa ni sisi tunaokatwa kodi huku maendeleo ni ya kuvuta na kamba
Aisee..Kichaa ni Kichaa tu.Nimekuwa namuangalia Rais akiwa akijadili hoja mbalimbali zilizozungumzwa na wana kongamano tofauti pale Mlimani walipokuwa wanajadili hali ya uchumi nchini alipofika hoja inayohusu Katiba hali ilibadilika kabisa na inaonyeshwa hapendezwi kabisa kabisa na wale wasomi ambao bado haelewi mikakati ya awamu ya tano inataka nini na misimamo yake ni ipi huku wao bado wakipenda kujadili mambo ambayo alishayatolea maelezo huko nyuma.
Nakumbuka alishasema kuhusu Katiba kuwa sio kipaumbele chake wala hakuna nadi katika kampeni.
Kiukweli mtazomo wake kimwili tu unaonyesha kuwa hapendi wanaotaka kucheze pesa za umma kwa vitu ambavyo Rais hajavipa kipaumbele kabisa.
Wanazuoni wetu asilimia kubwa ni mtihaniHuyu wa pili ndo haeleweki kbsaa...wanajidharirisha mbele za wanafunzi wao.
Anasema taa kumulika barabarani pengine labda ni sola inapotea.
Kisha anajikita ktk sigilas gorge.