Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,332
- 7,406
Hamna cha utaniYaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Hao kina mama ndio wanaompa kura nyingi sana kwani kajenga zahanati nyingi mikoani.Ni kweli. Lakini watu hawawezi kuacha kusema kisa tu huwezi kubadilika. Kama unakojoa kitandani, utasemwa siku zote. Kibaya zaidi, tabia hiyo watu wanaweza kuichukulia kama kigezo cha kufanya maamuzi fulani, mfano akina mama kuamua kumnyima kura kwa kuonekana kuwa anawanyanyapaa.
Nawashangaa wale wote mnaosema huu ni utani!,Bila shaka mnaweza kuwa wendawazimu,Hebu fikiria kauli hii angeisema Donald Trump mbele ya kadamnasi kama huko Marekani kungekalika na uenda isingekuwa Marekani tu bali mpaka nchi zetu hizi zingeongea sana kuhusu kumdhalilisha na kumbagua mwanamke mweusi,Hakuna mtu anayekataa utani maana nchi yetu na makabila yake yamebaki kama utani lakini hakuna utani kwenye rangi za ngozi za watu katikati ya dunia ambayo watu weusi tunapambana na ubaguzi kwa ndugu zetu wanaoendelea kubaguliwa duniani kote!,Hii kauli imewaudhi watu wengi sana ikiwemo hata hao viherehere wa kusifu na kuabudu kil a kitu!,ni basi tu hawawezi kusema lakini hakuna aliyependa na sidhani hata mke wake kajisikia vizuri,Hata hivyo yule mama always hakuna ambacho huwa kinampa furaha kutoka kwa huyo mzee ni basi tu keshakuwa mke wa rais hana cha kufanya zaidi ya kujipatia maumivu ndani kwa ndani huku akionyesha tabasamu feki!.
HEBU FIKIRIA HII KAULI INGESEMWA NA MPINZANI WAKE WA KISIASA NDUGU TUNDU LISU!,BILA SHAKA TUNGESIKIA KAKIKUNDI KA AKINA MAMA FULANI WANAITISHA PRESS CONFERENCE NA KUMTAKA AOMBE RADHI NA ISINGEISHIA HAPO TU BALI WANGEANDAMANA NA KUWEKA MASHINIKIZO KADHAA!
Wewe ndiio mjinga kweli alikwambia kijijini watu ni weusi Nani?rangi ya ngozi NI character ya kurithiMjinga mmoja, kwa watanzania ambao ni wengi na wasokua na elimu... Watamtafasiri km mwenye utani???
Unadhan mwanamke wakijijin kauli kama hii kaisikia, anaweza kupiga hatua kuelekea Ofisin kwake ????
Mnatetea mpaka na upuuuzi
Mama Janeth ni mvumilivu kuliko Wanawake wote wa TanzaniaView attachment 1595438
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.
Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?
Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.
Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Wewe ndiio umepotokaUsitetee ujinga brother. Rais amepotoka!
Hakuna utani wa kijinga kama ule!
Kama alifikiri anachekesha, mwambie amepotoka na amekosea!
hebu tupiamo kapicha tukuone weusi wako mkuu 😀Mimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Hai tamwa sijui tgnp sijui tawla ni vikundi vya kinafki tuuuuuuuNawashangaa wale wote mnaosema huu ni utani!,Bila shaka mnaweza kuwa wendawazimu,Hebu fikiria kauli hii angeisema Donald Trump mbele ya kadamnasi kama huko Marekani kungekalika na uenda isingekuwa Marekani tu bali mpaka nchi zetu hizi zingeongea sana kuhusu kumdhalilisha na kumbagua mwanamke mweusi,Hakuna mtu anayekataa utani maana nchi yetu na makabila yake yamebaki kama utani lakini hakuna utani kwenye rangi za ngozi za watu katikati ya dunia ambayo watu weusi tunapambana na ubaguzi kwa ndugu zetu wanaoendelea kubaguliwa duniani kote!,Hii kauli imewaudhi watu wengi sana ikiwemo hata hao viherehere wa kusifu na kuabudu kil a kitu!,ni basi tu hawawezi kusema lakini hakuna aliyependa na sidhani hata mke wake kajisikia vizuri,Hata hivyo yule mama always hakuna ambacho huwa kinampa furaha kutoka kwa huyo mzee ni basi tu keshakuwa mke wa rais hana cha kufanya zaidi ya kujipatia maumivu ndani kwa ndani huku akionyesha tabasamu feki!.
HEBU FIKIRIA HII KAULI INGESEMWA NA MPINZANI WAKE WA KISIASA NDUGU TUNDU LISU!,BILA SHAKA TUNGESIKIA KAKIKUNDI KA AKINA MAMA FULANI WANAITISHA PRESS CONFERENCE NA KUMTAKA AOMBE RADHI NA ISINGEISHIA HAPO TU BALI WANGEANDAMANA NA KUWEKA MASHINIKIZO KADHAA!
Acha upimbi wewe, ndiyo maana marais wana mtu wa kuwaandikia hotuba ili kuhakikisha kwamba hata kama kachomeka utani hautakuwa na tafsiri mbaya. Waswahili wana msemo kwamba tuchunge sana kauli zetu kwani zaweza kuleta madhara. Sasa wewe kwa udumavu wako wa akili na mahaba ya kipuuzi wala huwezi kuona.Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Kimsingi rais wetu.anajitahd sana kuwa.na sense of humour lkn hawez. Kwenye communication skills kipengele cha socialization hakukiweza ipasavyo. Atafuta njia ya kuweka tabasamu kwenye nyuso za watu lkn kumbe ndio anasema huzunizaidHajui utani kiasi kuwa anageuka kuwa mropokaji. Utani una tafsida yake. Kimsingi anapenda utani lakini utani haumpendi. Hili tumekuwa tukilisema mara nyingi kuwa huyo jamaa hana uwezo wa utani. Anapatia zaidi kwenye mambo yake ya jazba na sio utani.
But hilo halifanyi watu wasiseme ama kukosoa. Nyerere alivyowatungia kitabu akina Mzee Mwinyi, Malechela and others hao walikuwa watoto? Jibu ni kwamba walikuwa wazee /watu wazima tayari but bado Nyerere aliamua kuwakosoa.Mzee wa miaka 61 sidhani kama ni rahisi kumbadili tabia.
Huo ndio “udhaifu” wake. Ndio maradhi yake hayo.
Hahahah bora umejua unapataga shida kwa TALHahaha.. Ukiwa umachukia mtu kumbe unapata shida hivi
Kukosoa hakukataliwi lakini sidhani kama itasaidia kitu.But hilo halifanyi watu wasiseme ama kukosoa. Nyerere alivyowatungia kitabu akina Mzee Mwinyi, Malechela and others hao walikuwa watoto? Jibu ni kwamba walikuwa wazee /watu wazima tayari but bado Nyerere aliamua kuwakosoa.
Popoma ni yule anayechukulia kwa uzito kauli za masihara za mwanasiasa tena akiwa jukwaani.Popoma mwingine huyu hapa...
Halafu kwanini huwa anajifanya anajua kuchekesha?Wewe ndiio umepotoka
Wewe, Utani anaweza kuzungumza na watu katika setting ya kibinafsi!! Huwezi kuzungumzia rangi kama mgombea katika jukwaa huku ukimpigia kura mgombea na katika matamshi yako ukaihusisha ofisi ya Rais.Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango