Hivi ule umoja wa wansheria wanawake TAMWA wapo?View attachment 1595438
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.
Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?
Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.
Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Umeongea ukweli brother. Hizo sio kauli za kuongea maana binadamu tunatafsiri tofauti. Wapo waliokwazika na kauli hiyo, hivyo ni vzr akiacha kauli zenye mrengo wa kiubaguzi.Ni kweli. Lakini watu hawawezi kuacha kusema kisa tu huwezi kubadilika. Kama unakojoa kitandani, utasemwa siku zote. Kibaya zaidi, tabia hiyo watu wanaweza kuichukulia kama kigezo cha kufanya maamuzi fulani, mfano akina mama kuamua kumnyima kura kwa kuonekana kuwa anawanyanyapaa.
Atachukulia ni utani[emoji16][emoji16][emoji16]Utajuaje, labda moyoni mwake anajuta kwa nini kamuoa, na ndio msingi wa kauli kama hizi. Kwa mfano we Lucy ni mke wangu lakini hauna chura. Utajisikiaje niwe nawasifu wanawake wenye chura tena mbele zako?
Wewe ni msemaji wa wanawake weusi?Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.
Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?
Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.
Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Wewe kauli ya mh rais ni sheria mkuuuHuo ni utani wa wasukuma
Mzee wa Sera za Ubwabwa....!!!!🤣🤣🤣Afadhali kura yangu nimpe Hashim Rungwe a learned brother.
Nongwa zinawatesa watanzania wenzangu wengi tu😂😂.Wewe ndio chizi kabisaa ndio maana magufuli amesema mnamchelewesha yaaani badala ya kukaa na kufanya vitu vya maana unafuatilia kuambiwa wewe NI mweusi
Hivi ule umoja wa wansheria wanawake TAMWA wapo?
Magufuli ametengeneza chuki yeye mwenyewe kwa mabaya yake ambayo huwatendea watu mbalimbali NchiniHahaha.. Ukiwa umachukia mtu kumbe unapata shida hivi
Weusi na weupe vinaisaidia nini ccm Mbona hawaleti maendeleoNongwa zinawatesa watanzania wenzangu wengi tu😂😂.
Magufuli anawachukia wanawake weusi ni wakati sasa wamuonyeshe umuhimu wao kwenye sanduku la kuraAsante sana kwa hili manake ilikuwa mpaka kero na kweli wanawake weusi wamejisikia vibaya sana.
Lini huyo aliyepinda bichwa katania? Ukiwa makini kumfuatilia huwa hataniii anamaanisha, ohoooooh pole kama humjui vizuri.Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
View attachment 1595438
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.
Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?
Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.
Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Kabisa.. Ukiachilia mbali kuandama uchi..Ingekuwa Malawi wanawake weusi wangeandamana uchi mpaka ikulu.
Kwan wee mchungu?Bibie we mtamu umewahi kujionja?