Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Corona hii haina kuaminiana aminiana.
Yaani mnadanganywa kweli kweli.Sanitizer ni sumu,barakoa ina-limit Oxygen supply na ina kufanya uvute ndani(re-inhale) Carbon Dioxide,kitu ambacho kina lower your immune system!Amkeni,Wazungu wana nia mbaya ya kutumaliza.
 
Hizi picha zinaeleza ya kwamba mh Magu kifo chake kimetokana na tatizo la Moyo na si Covid 19 kama wengi wanavyotaka ijulikane hivyo.
 
Yaani mnadanganywa kweli kweli.Sanitizer ni sumu,barakoa ina-limit Oxygen supply na ina kufanya uvute ndani(re-inhale) Carbon Dioxide,kitu ambacho kina lower your immune system!Amkeni,Wazungu wana nia mbaya ya kutumaliza.
Mbona wao wanavaa barakoa, hata wao wazungu wapo wenye mawazo kama yako.
 
Hawa viongozi wetu wote, hawachukui tahadhari ya covid
 
Kuna muda maalum wa kupaki mwezi mmoja
nadhani pengine mama ameamua akaomboleze nyumbani kwake....
Mkuu Ikulu huendi na sufuria wala fenicha. Kila kitu ni cha taifa. Mwezi mmoja unapaki nini wakati Ikulu ni ofisi ya Rais mteule? Wakati wewe unapewa mwezi mmoja huyu mwingine anakaa wapi!
 
Pole sana mama Janeth Magufuli. Hiyo yote ni mipango ya Muumba, kazi yake haina makosa.
 
Najua ww pia ni mkimbizi. Hicho kiswahili ni dhahili. Tz haiwezi kupewa wakimbizi kamwe kuingoza! Tena SAMIA aanze msako rasmi.
Mama Samia kasoma na ni intelligent, hawezi kufanya ujinga huo.Na kwa taarifa yako,mimi ni Mpare,ila najua huku tulihamia,wanadamu wote tulitoka Middle East,ndio tukasambaa dunia nzima.
 
Sasa ndio ume andika nn?

Tz haina experience na rais mwanamke. Mf. Ni ulinzi wake. Uta badilika sana
 
Mh. Rais hajavaa barakoa, hajavaa barakoa....? Haya, naona top officials wameamua kuondoka kwa style yao!!
 
TEETH chukueni tahadhari kwa Mama Samia ,awe anavaa barakoa na mambo ya kushikana mikono hayafai ,maana huyo mama muda mwingi anajifuta uso ,avae barakoa na kutumia "SANTAIZA".
Kamanda ulimaanisha (TISS)

Maana hiyo TEETH ulioiandika ni meno [emoji1]
kwa kiswahili kamanda
 
Yaani mnadanganywa kweli kweli.Sanitizer ni sumu,barakoa ina-limit Oxygen supply na ina kufanya uvute ndani(re-inhale) Carbon Dioxide,kitu ambacho kina lower your immune system!Amkeni,Wazungu wana nia mbaya ya kutumaliza.
Akili za jiwe hizi Bado wewe jinga kabisa
 
Kama kila mtu atakataa kutangulia kama wewe,atangulie nani sasa ?

Hakuna anaeweza kukataa kutangulia, hata wewe ni hakika kuna watu utawatangulia utake usitake, iwe leo au miaka 100 ijayo. Kaa nalo kichwani hilo.
Ukiwahi unapata nini
 
Mkuu Ikulu huendi na sufuria wala fenicha. Kila kitu ni cha taifa. Mwezi mmoja unapaki nini wakati Ikulu ni ofisi ya Rais mteule? Wakati wewe unapewa mwezi mmoja huyu mwingine anakaa wapi!
That is the law.....kuna nguo picha and other personal properties usikariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…