Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Muulize zile bilioni 350 mgawanyo ulikuwaje?
 
Hakuna mtu anayemuombea mabaya mtu yeyote maana Dua la kuku huwa halimpati mwewe !! Ila what goes around comes around !! Ukifanya mabaya kawaida yake yatakurudia tu ! Na mema pia yatakurudia tu. !!
 
Wivu na uzushi wa namna hii mkikuta mmeletewa posa nyumbani kwa ajili ya kuolewa msilalamike.
1.
Tuambie kwa kina mapumziko ya mtu ambaye ameshastaafu hana majukumu ya kitaifa anakuwa na likizo ya nini ndani ya ustaafu. Kwa nini isiwe ni utalii wa ndani?

2.
Kama kwenu wanaume wanatolewa posa, haiyumkiniki baba alikaa leba miezi tisa ukazaliwa.

3.
Jifunze adabu mvulana wa kike
 
Hivi kwa hii hali nyie walimu mna hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…