Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize zile bilioni 350 mgawanyo ulikuwaje?Rais Mstaafu Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha mapumziko yake mafupi ya mwisho wa mwaka kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Dkt Kikwete, ambaye ameongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete katika ziara hiyo, pia alipata wasaa wa kupita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la Olduvai na Hifadhi ya Ngorongoro.
View attachment 2451585View attachment 2451586View attachment 2451587View attachment 2451588View attachment 2451589View attachment 2451592View attachment 2451593
Hakuna mtu anayemuombea mabaya mtu yeyote maana Dua la kuku huwa halimpati mwewe !! Ila what goes around comes around !! Ukifanya mabaya kawaida yake yatakurudia tu ! Na mema pia yatakurudia tu. !!Mtabaki mnamuombea mabaya milele na ndo kwanza yanaweza kuanza kuwakuta nyie......tangu muanze kumsema na kumuombea mabaya, kwa sababu mlizozibuni kutokana na wivu na chuki zenu kwa huyo jamaa, mmeshapatwa na mangapi mabaya huku yeye akiwa salama tu? Na bado, endeleeni tu.
exemptedAmelipa gate fee?
exempted
Ni haki yake na stahili yake haswa kwenye fungu la entertainment kwa retired presidents acha Mzee wetu apumzike awe na afya njema, ungejua ungemshukuru sana kwa umoja na amani yetuHawa bado wanaitafuna sn nchi yetu
Huyu ambaye alileta majangili tupu kwanza inapaswa akamatwe ashitakiweNi haki yake na stahili yake haswa kwenye fungu la entertainment kwa retired presidents acha Mzee wetu apumzike awe na afya njema, ungejua ungemshukuru sana kwa umoja na amani yetu
1.Wivu na uzushi wa namna hii mkikuta mmeletewa posa nyumbani kwa ajili ya kuolewa msilalamike.
weeee!!!!! sikulijua hilo kabisaHuyu ambaye alileta majangili tupu kwanza inapaswa akamatwe ashitakiwe
Haya majangili bado yanaitafuna nchiHakuna mtu anayemuombea mabaya mtu yeyote maana Dua la kuku huwa halimpati mwewe !! Ila what goes around comes around !! Ukifanya mabaya kawaida yake yatakurudia tu ! Na mema pia yatakurudia tu. !!
Tulia utawala wake wewe ulikuwa bado mtotoweeee!!!!! sikulijua hilo kabisa
Mmmaaa!!!!!Tulia utawala wake wewe ulikuwa bado mtoto
Mimi hapaiyo ni mada kabisa embu ianzishie uzi wake twende nayo,tupate kujuzana ni Rais wa nchi ipi Duniani aliwai kutawala au kuongoza bila kuumiza watu.
Hivi kwa hii hali nyie walimu mna hali gani?Jamaa wakati wake alitujali Sana aiseh!
Alijua kula na kipofu!
Alifanya yake lakini akahakikisha KILA MWAKA anatupa chetu!!
Sasa huyu aliepo anatangaza kuwania 2025 HUKU anatudanganya na huyo madeluu!halfu mfumuko wa bei Hadi unajiuliza anajipanga na urais KWELI!!?au anaachia njiani !Mi sioni dalili za mtu anaetaka madaraka bali anaeaga kabisaaaa!!
Mi nipo fresh Sana we jamaaHivi kwa hii hali nyie walimu mna hali gani?