Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Rais Mstaafu Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha mapumziko yake mafupi ya mwisho wa mwaka kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Dkt Kikwete, ambaye ameongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete katika ziara hiyo, pia alipata wasaa wa kupita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la Olduvai na Hifadhi ya Ngorongoro.
View attachment 2451585View attachment 2451586View attachment 2451587View attachment 2451588View attachment 2451589View attachment 2451592View attachment 2451593
Muulize zile bilioni 350 mgawanyo ulikuwaje?
 
Mtabaki mnamuombea mabaya milele na ndo kwanza yanaweza kuanza kuwakuta nyie......tangu muanze kumsema na kumuombea mabaya, kwa sababu mlizozibuni kutokana na wivu na chuki zenu kwa huyo jamaa, mmeshapatwa na mangapi mabaya huku yeye akiwa salama tu? Na bado, endeleeni tu.
Hakuna mtu anayemuombea mabaya mtu yeyote maana Dua la kuku huwa halimpati mwewe !! Ila what goes around comes around !! Ukifanya mabaya kawaida yake yatakurudia tu ! Na mema pia yatakurudia tu. !!
 
Wivu na uzushi wa namna hii mkikuta mmeletewa posa nyumbani kwa ajili ya kuolewa msilalamike.
1.
Tuambie kwa kina mapumziko ya mtu ambaye ameshastaafu hana majukumu ya kitaifa anakuwa na likizo ya nini ndani ya ustaafu. Kwa nini isiwe ni utalii wa ndani?

2.
Kama kwenu wanaume wanatolewa posa, haiyumkiniki baba alikaa leba miezi tisa ukazaliwa.

3.
Jifunze adabu mvulana wa kike
 
Jamaa wakati wake alitujali Sana aiseh!

Alijua kula na kipofu!

Alifanya yake lakini akahakikisha KILA MWAKA anatupa chetu!!

Sasa huyu aliepo anatangaza kuwania 2025 HUKU anatudanganya na huyo madeluu!halfu mfumuko wa bei Hadi unajiuliza anajipanga na urais KWELI!!?au anaachia njiani !Mi sioni dalili za mtu anaetaka madaraka bali anaeaga kabisaaaa!!
Hivi kwa hii hali nyie walimu mna hali gani?
 
Back
Top Bottom