Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Najiuliza UDSM haina msukuma/mhaya/mnyamwezi aliyefikia ngazi za juu kitaaluma na kiutawala hadi achaguliwe mnyakyusa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Criteria labda zinabana
 
Mfinanga is very smart, najua hizo nafasi kuna siasa ndani yake ila nakuhakikishia Prof Mfinanga ni smart sana lazima wamemsoma wakamuogopa maana huku jf watu ni wajuaji sana wanalishana maneno ila tafuta watu waliofanya kazi na Prof MFINANGA
Hongera kwa Uteuzi
 
Hao wasomi unayotasema wewe mchakato umefanyika zaidi ya miaka miwili, hii ilikuwa kukamilisha tu Ratiba , Mchakato navyojua umeanza kusikika toka 2015.
Umeelewa nilichokisema? Tatizo siyo mchakato umeanza lini. Tatizo ni VC kapatikanaje: je, kwa academic na leadership merits? Ulisikia nafasi ya VC ikitangazwa na watu wakiambiwa watume maombi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…