Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiuliza UDSM haina msukuma/mhaya/mnyamwezi aliyefikia ngazi za juu kitaaluma na kiutawala hadi achaguliwe mnyakyusa?Usishangae siku moja Magufuli akaja kutengua huo uteuzi ikiwa hakushirikishwa kikamilifu wakati wa kuteua.
all the bestMkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa chuo hicho.
![]()
![]()
Tumia akili mkuu...au ndo tribalisim inakusumbuaNajiuliza UDSM haina msukuma/mhaya/mnyamwezi aliyefikia ngazi za juu kitaaluma na kiutawala hadi achaguliwe mnyakyusa?
Kama ulikuwepo akilini mwangu. Nafikiri siasa imetumika ktk hicho kichwa cha habari.Kwa nini kichwa cha habari kisianze kwa kusomeka Mkuu wa Chuo Kikuu .......
Walikua wanataka kusikia ni msukuma ili agenda yao ya ukabila iendelee. Kawakata kidomoTumia akili mkuu...au ndo tribalisim inakusumbua
Sizonje hapo hana amani...Walikua wanataka kusikia ni msukuma ili agenda yao ya ukabila iendelee. Kawakata kidomo
Huo uteuz umefanyika baada ya ku consult yy.Sijui kama barua umeisoma.Sizonje hapo hana amani...
Acha matusi kwa Mzumbe, UDOM na OpenHuwezi kufananisha chuo kikuu cha taifa na vitu vya kijinga
Madrasa mara mbili? Natumaini bingwa wa kupukutisha wavaa kobazi dada Joi atamaliza mchezo soon.Bila kuingilia kati waislam walitaka kukifanya hiki chuo kuwa madrassa
UDOM - Cha kataAcha matusi kwa Mzumbe, UDOM na Open
Kwani ni sizonje ameteua mpaka awekwe Msukuma?Najiuliza UDSM haina msukuma/mhaya/mnyamwezi aliyefikia ngazi za juu kitaaluma na kiutawala hadi achaguliwe mnyakyusa?
Kumbe ndiyo maana kuna mjumbe kwenye uzi huu alisema uteuzi huo kuna siku utatenguliwa na Mkubwa.Kwani ni sizonje ameteua mpaka awekwe Msukuma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najiuliza UDSM haina msukuma/mhaya/mnyamwezi aliyefikia ngazi za juu kitaaluma na kiutawala hadi achaguliwe mnyakyusa?
Umeelewa nilichokisema? Tatizo siyo mchakato umeanza lini. Tatizo ni VC kapatikanaje: je, kwa academic na leadership merits? Ulisikia nafasi ya VC ikitangazwa na watu wakiambiwa watume maombi?Hao wasomi unayotasema wewe mchakato umefanyika zaidi ya miaka miwili, hii ilikuwa kukamilisha tu Ratiba , Mchakato navyojua umeanza kusikika toka 2015.