Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

Wewe ulikuwa ukisubiria tu jina litajwe?
 
JPM ni kama maji..utayaoga/utapikia/utakunywa/utafulia na kadhalika...ndio maana hata mwili wa binadamu asilimia 70 ni maji.
Amtaje asimtaje ukweli ni kwamba magufuli ni Mtu pekee aliejenga IKULU Tanzania. PERIOD.
 
Nimetoka kusoma uzi hapa kwamba watu wana mtajataja sana Magufuli, huu uzi wa tatu sasa naona malalamiko kuwa hatajwi! Hivi wanaolalamika ni walewale au ni tofauti?
Katajwa sana mpka tuzo kapewa sasa sijui wanataka atajwe vipi
 
Hawezi mtaja 🤪🤪
 
Shetani hawezi kujenga mahali patakatifu
Ikulu hiyo imejengwa kwa fedha zetu na siyo za shetani! Shetani alitumia fedha zetu kama chambo cha kutunasa lakini alivyogundulika akatangulizwa jehanamu ambako moto wa milele unamshughulikia!
 
Ikulu hiyo imejengwa kwa fedha zetu na siyo za shetani! Shetani alitumia fedha zetu kama chambo cha kutunasa lakini alivyogundulika akatangulizwa jehanamu ambako moto wa milele unamshughulikia!
Sawa bila shaka utaishi milele mwehu wewe
 
Wapinzani bado wanateswa na mzimu wa jpm, kikweye hajataja marais wowote waliopita, kataja awamu tu bilq kuaema zilifanya nini kwa muda wao, target yake ilikua aelezee kipindi chake alifanya nini.. kaongelea kipindi chake tu na alifanya nini..
 
Watu wazuri hawafi!!!
 

akwepa kumtaja Magufuli Kwa sababu amepata aibu kwani JPM alimjengea daraja la wami lililopo hapo jirani na nyumbani kwake.
 

Attachments

  • 7A141329-9841-4425-9440-A760EBFB09B0.jpeg
    334.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…