Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Gasho kweli wewe..Angemtajaje Magufuli aliyefisidi rasilimali zote za taifa akaenda kujenga Chato? Na ile hoteli ya nyota 5 aliyojenga Chattle kwa kutumia hela za walipakodi sasa imegeuka maskani ya popo. Mungu hamfichi mwizi.
Mti wenye matunda
Hata kikawaida hapa duniani Kati ya Mitume na Shetani nani anatajwatajwa sana
Angalikuwa hai leo sijui wangemtajeje. Walijifanya kumpenda kumbe wanafiqueeee
Kwa kweli hajamtaja kabisa nimesikiliza hapa.
Atajwe kama nani!!?....Acha ubwegeKama kuna ambaye hamtaji ujue ana wivu wakike
Punguza makasiriko uongeze umr wa kuishiMagufuli ni Nani haswa mpaka atajwe na kila mtu?
Ngoja tuone kama wataishi au kukaa hapo ikulu, wanaondoka soon hao wazuri vita inaendelea .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Magufuli bado anawabutua hata baada ya kufa mbwa nyieKuna MAJITU YANATESEKA JAMANI.
Kenge kweli,hajatajwa,hajatajwa,mbona frani hajamtaja magufuri.
Harafu unakuta ni jitu Zima kabisa.
Shetani hatajwitajwi mahala patakatifu.
unajua ni roho ngapi zinalia kisa Jinga moja hivi.
Kuongoza watu zaidi ya millions 60,afu unalazimisha kufanya unavyotaka wewe kanakwamba ni familia yako,shwaini.
Nini maana ya KATIBA.
Haya sasa,nendeni mahakamani Kenge KIJANI KIBICHI.
Kwani hella ilikuwa yake au ya serikali.
Endeleeni kubweka,na bado mjifunze KUNGUNI nyie.
Ukimaind fresh,NIPO zangu napata GAMBE NIPO NZII.
Kuna siku wanajamii forum tutakuja kuongea rugha moja kama akina nyani ngabu enzi zao? Akina MSEZA MKULU akina Mzizi mkavuPunguza makasiriko uongeze umr wa kuishi
jembe aliwanyoosha sana. wamebaki kuzindua miradi yake
Sawa Sawa ndio ukipita mitaani Shujaa Magufuli anakumbukwa hadi na Tundu Antipas Lisu πππ
Tundu Lisu: CCM wanamsema sema Magufuli kwa sababu ameshakufa
Nashangaa na huyu anasema hajamtaja isije kuwa alikuwa anasikiliza hotuba za zamani, Kikwete kawataja wote na haya aliyosema aliwahi kuyasema wakati wanaweka jiwe la msingi na JPM alikuwa hai sio kwamba anasema kwakuwa JPM hayupo, ni lazima watu wajue hii ilikuwa sera ya CCM na amekiri JPM ndio wakati wake ali push hii sera sasa ni wapi Kikwete hajamtaja JPM? watu ni mradi watafute chokochoko tu hawa ni CCM na ni wamoja wanajuwana vizuri.Mbona amemtaja?? Unapata faida gani kusema uongo?
Katika huu uzinduzi,kila lilipotajwa jina la magufuli watu walishangilia sana ilikuwa ina maanisha nini?
Kama yake si angeenda nayo kuzimujembe aliwanyoosha sana. wamebaki kuzindua miradi yake
Ni walewale tu, wafuasi wa IbilisiNimetoka kusoma uzi hapa kwamba watu wana mtajataja sana Magufuli, huu uzi wa tatu sasa naona malalamiko kuwa hatajwi! Hivi wanaolalamika ni walewale au ni tofauti?
Mara mseme hakutajwa, mara ooh alishangiliwa sana. Mnatapatapa wenyewe na Marehemu wenuKatika huu uzinduzi,kila lilipotajwa jina la magufuli watu walishangilia sana ilikuwa ina maanisha nini?