Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila Magufuli ana nguvu sana wakuu!

Fikria ni marehemu mwaka wa 2 huu ila ona anavyotrend.

Hii kitu huenda hata ccm walio hai kinawasumbua sana

Anatrend kwenye mawazo yako. Unaelewa maana ya kutrend?.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Magufuli bado anawabutua hata baada ya kufa mbwa nyie
Mnabutuliwa nyie mnaoabudia Marehemu shetani lenu la Chato.
Sie kwetu kila tukio ni sherehe tu kwa7bu tuna uhakika halirudi tena.
 
Sio CCM hao ni Wazandiki tu! Sisi wana CCM kindakindaki hatuna huo upuuzi wanaouendeleza wao.
 
Kanakera kwelikweli.
Kama hukaelewi, unaweza fikiri serikali ina tatizo kubwa kweli na JPM kumbe ni kakikundi kanatengeneza tention kwa maslahi wanayojua wao.

Na huwa hakakosi cha kusema. Serikali ikimtaja kwa kumbukumbu njema katakuja na tention ikijaribu kutatutua changamoto ambazo zilikuwepo awamu ya 5 katakuja na tention kukiwa hakuna la kumzungumzia katakuja na tention.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…