Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
unaosambazwa na Sukumagang!Uchief ni uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaosambazwa na Sukumagang!Uchief ni uchawi
Yes. Tz looks awkward in the face of the civilized world.
Walomwelekeza njia ya upotevuni, Leo hao hao wanarudi kumuuliza na kumshangaa alipitaje njia Ile🤭🤭🤭Siku hizi tunaishi kama tuko kwenye tamthilia vile. .
Usisahau JPM; na genge lake la Sukumagang!Ila kama kuna kitu tunajivunia kama Watanzania ni kutokuwa wakabila na wadini.
CHADEMA wanajitahidi sana kuturudisha huko, kamwe tusiwaruhusu aisee.
Tusione dini na kabila kwenye kila kitu.
Wanatuaminisha sana kwenye Ukabila na Udini.Wewe mpuuzi kubwa umekula kwanza kazi kubwabwaja tu,Chadema wanahusikaje Kwenye huu uchifu Mh.Kikwete kataja chadema hapo?
Chawa lazima mjue hii ni JF wekeni akiba ya manenoSAMIA anam dissapoint mpaka Kikwete !!!
She is such a lightweight. No brains.
Unarudisha kitu ambacho hata mashuleni kilifundishwa kilifutwa kwa tangazo rasmi la kisheria na sababu zake zikaelezwa ??
Uchifu Wa Sasa umeasisiwa na Chiftress Hangaya kwa hisani ya CCM Tanzania. Mh.Kikwete hastahili kushangaa Bali kukemea Uchifu unaomea kila kukicha.Hawa wataleta ukabila balaa
Kabisa, CHADEMA ni wa hovyo sana.Usisahau JPM; na genge lake la Sukumagang!
Kelele hizo ni taarifa kuwa "MSTAAFU AMESTAAFISHWA" amenyang'anywa remote. Nchi ngumu sana hii.
Siasa za Tanzania haziendelei kwa sababu ya wanasiasa uchwara kujaza chawa mitandaoni wa kuwasaidia kuficha aibu zao.CC Chief Hangaya
Marais wote waliosimikwa uchifu, wameutumia uchifu kisiasa.SAMIA anam dissapoint mpaka Kikwete !!!
She is such a lightweight. No brains.
Unarudisha kitu ambacho hata mashuleni kilifundishwa kilifutwa kwa tangazo rasmi la kisheria na sababu zake zikaelezwa ??
Siasa za Tanzania haziendelei kwa sababu ya wanasiasa uchwara kujaza chawa mitandaoni wa kuwasaidia kuficha aibu zaoCC Chief Hangaya
Chifu wa Chadema juu na chawa wake chifu mdogo chini.Ila kama kuna kitu tunajivunia kama Watanzania ni kutokuwa wakabila na wadini.
CHADEMA wanajitahidi sana kuturudisha huko, kamwe tusiwaruhusu aisee.
Tusione dini na kabila kwenye kila kitu.
Kwahiyo kama alikosea ndio awaache mkosee mwezavyo! Akili ya wapi hii?JK naye aache usanii wake,yeye ndiye chanzo cha matatizo yote hapa nchini,alikosea sana kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kuanzisha mchakato wa kuandika Katiba Mpya halafu katika hatua za mwisho akaenda kuuharibu yeye mwenyewe. Tena akae kimya tuna hasira naye sana
usiwaamini sana hawa huwenda kabla ya kuongea walishapigiana cm kuwa naenda kukupinga kuhusu hili tulia ili tuonekane tuko tofauti katika kuendesha nchi na sisi wadanganyika tukaingia kingi. mtu mmoja alishasema mwansiasa akikwambia kuna mwanga toka na tochi.SAMIA anam dissapoint mpaka Kikwete !!!
She is such a lightweight. No brains.
Unarudisha kitu ambacho hata mashuleni kilifundishwa kilifutwa kwa tangazo rasmi la kisheria na sababu zake zikaelezwa ??
Ya kweli halijaanza na Samia.. si unaona hata hawa walitangulia kusimikwa uchifu kabla ya Samia? Ila chawa hawakupiga kelele kuwalaumu! Yani Tanzania hii kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.Marais wote waliosimikwa uchifu, wameutumia uchifu kisiasa.
Hili jambo halijaanza na Samia.
Even as Samia is an airhead.
Kelele hizo ni taarifa kuwa mstaafu amestaafishwa, amenyang'anywa remote. Nchi ngumu sana hii.
CHADEMA wanaona kabila na dini kwenye kila kitu. Ni wakabila sana. It's time we should rebuke them for this.Mtu ambaye aliliharibu Taifa letu Kwa ukabila na ukanda ni Magufuli na ndiyo maana Mwenyezi Mungu alipoiona hatari hii akamfyekelea mbali na kumtupa kuzimu