Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

Lete Maneno........

By JK Wa Msoga Chalinze Tanzania

 
Usiniambie ni historia imejirudia ya ile kauli hatujui kesho atashauriwa nini na mkewe. Khaas!

Amesaidia lakini kuuamsha umna maana Watanganyika wasipojiongeza watajikuta na wao kwenye yule Muunguja mimi Mpemba.
Timu ya WAHUNI imeshatimia, utawasikia sana wakipush agenda zao time hizi. Bt ENGINE yetu kama Nchi Iko vzr sana. Amen
 
SAMIA anam dissapoint mpaka Kikwete !!!

She is such a lightweight. No brains.

Unarudisha kitu ambacho hata mashuleni kilifundishwa kilifutwa kwa tangazo rasmi la kisheria na sababu zake zikaelezwa ??
JamiiForums812753036.jpg
 
Msimu wa Uchaguzi Mkuu ukifika huko Kanda ya ziwa kuna wazee hupiga pesa kwa kuwasimika uchifu uchwara wagombea.

Ajabu wazee wenyewe ni "mission town" unakuta Mzee mwenyewe mjaluo halafu anasimika mtu kuwa chifu wa wasukuma.😁😁!
 
Kama Rais wa nchi lazima awe mkatoliki wakati tuna madhebu mengi,Kuna shida gani Rais kukutana na Machifu?
SAMIA anam dissapoint mpaka Kikwete !!!

She is such a lightweight. No brains.

Unarudisha kitu ambacho hata mashuleni kilifundishwa kilifutwa kwa tangazo rasmi la kisheria na sababu zake zikaelezwa
 
Kama Rais wa nchi lazima awe mkatoliki wakati tuna madhebu mengi,Kuna shida gani Rais kukutana na Machifu?
Hakuna machifu, uchifu ilishafutwa. Mama mnataka uendelee badilisheni hizo Sheria zilizofuta uchifu
 
..harakati za Uchifu na Utemi ktk awamu ya 6 ni tofauti na huko nyuma na naamini hicho ndicho kinachomtlsha au kumsumbua Mzee Kikwete.

..safari hii Machifu na Watemi wamekuja na msukumo wa kuji-organize kutaka kuunda chombo chao, na huenda wakadai kutambuliwa ktk mfumo wa utawala.
 
Jk atulie alee wajukuu, awamu yake hakuna raisi alikua akimpangia cha kufanya. Kama hataki uchifu ni yeye, sisi wengine tunataka.

Sioni kosa hapo. Chifu hangaya hana noma

Kazi inaendelea
 
Jk atulie alee wajukuu, awamu yake hakuna raisi alikua akimpangia cha kufanya. Kama hataki uchifu ni yeye, sisi wengine tunataka.
Sioni kosa hapo. Chifu hangaya hana noma

Kazi inaendelea
Jk naye ni s.gang?
 
Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba"

Mamlaka ya kisheria ya machifu ndio yamekufa, hawatendi kazi kama maafisa wa serikali, ila uchifu wao kitamaduni upo katika jamii, hata chief wanzangi alibaki kuitwa chief, tena na Mzee Nyerere ... chief ni kiongozi wa kimila, sio wa kiserikali.
 
Ila kama kuna kitu tunajivunia kama Watanzania ni kutokuwa wakabila na wadini.

CHADEMA wanajitahidi sana kuturudisha huko, kamwe tusiwaruhusu aisee.

Tusione dini na kabila kwenye kila kitu.
Umesahau mkabila number moja rais marehemu. Aliendesha nchi kibaguzi sana mpaka wasukuma wote wakajiona the first class ndani nchi.

Na akataka kuifanya chatle iwe gbdolite ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom