Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
That nonsense is unconstitutional. Tunaposema brainpower ya Chief Hangaya ni ndogo, chawa wake wanasema anaupiga mwingi. Nyambaf!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tangazo lilifuta Mamlaka ya kisheria ya Uchifu lakini Mamlaka ya kiutamaduni yaliendelea hata wakati wa Nyerere
Chifu Abdallah Said Fundikira alikuwa Waziri kwny Serikali ya Nyerere baada ya kufutwa Uchifu lakin bado aliendelea kuwa Chifu wa Wanyamwezi na Ali chair sherehe hizo na wakati mwingine zikihudhuriwa na Viongozi wengine wa kisiasa
Hivyo hivyo kwa Chief Adam Sapi Mkwawa hadi anafariki 1994 aliendelea kuwa Chief wa Wahehe na akiwa Mkuu wa mhimili wa Sheria kwa maana ya Bunge
tuambieani ni chief gani kishawahi kushtakiwa kwa kuendelea kuwa chief na kusimamia mambo ya kiutamaduni baada ya tangazo hilo?
Wasukuma tunajiona sawa na Watanzania wengine. Hatujaona mabadiliko yoyote wakati wa Magufuli. Shida yenu CHADEMA ni wadini na wakanda sana. Ni tatizo la nchi. Mbadilike.Umesahau mkabila number moja rais marehemu. Aliendesha nchi kibaguzi sana mpaka wasukuma wote wakajiona the first class ndani nchi.
Na akataka kuifanya chatle iwe gbdolite ya Tanzania.
Marais wote waliosimikwa uchifu, wameutumia uchifu kisiasa.
Hili jambo halijaanza na Samia.
Even as Samia is an airhead.
Shughuli ndani ya kabila fulani ni utamaduni, lakini mikusanyiko ya machifu wa nchi nzima au makabila mengi inahitahiji enabling law (legal basis)!
tundu lissu aliishalitolea ufafanuzi hilo so JKT anaendelea kulipigia mstari.
Ama unakubali uchifu, ama unakataa uchifu.Huyo loony president kaenda mbali zaidi. Hakuna Rais mwingine aliyewahi kutawazwa kuwa mkuu wa machifu wa nchi nzima!
Sasa hv ni wadini sana TanzaniaIla kama kuna kitu tunajivunia kama Watanzania ni kutokuwa wakabila na wadini.
CHADEMA wanajitahidi sana kuturudisha huko, kamwe tusiwaruhusu aisee.
Tusione dini na kabila kwenye kila kitu.
MkuuMwandishi yule aliamua Kuongeza kurasa Ili kufuta hatua zake na kubalance story maana tension ilikuwa kubwa sana pande zote.
Bt message was sent and delivered
mikusanyiko ya Machifu inahitaji enabling law?
nani kukupotosha ?
mikusanyiko ya Maulid na mahubiri ya injili huwa yanahitaji hiyo enabling law?
Enabling law ina apply only kama hiyo gathering itapewa Power za kiutawala au za kimamlaka
sasa nikuulize hiyo Mikusanyiko ya machifu ina demand any power of executing anything?
Kapata platform mwache aropoke, uchifu upo na machifu wapo na kama wanakutana wache wakutane ndio demokrasi hiyo ulioondoshwa ni uchifu kama taasisi rasmi ya utawala kiserikali lakini makabila yote yana machifu wao na wanawaheshimu sasa wakinaka kukutana wapelekewe polisi au vp mzee wa msonga nchi iko kwenye demokrasi wache wakutane wabadilishane mawazo tunawahitaji sana hasa wakati huu ambapo maadili yameporomoka katika jamii zetu ambapo ubakaji imekuwa ndio habari kila siku mpaka inafika mtoto kumbaka mama yake, na baba kumbaka mwanawe, wewe kikwete subiri mkutano ya siasa ndio kuliko na kula yako.
Nusu hii ya pili ya mwaka Tutaona mengi.Mkuu
Mambo yaende pole pole
Wakianza kuparuana hadharani ni HATARI Sana
CDF kustaafu Mwezi Huu
Tuiombee nchi
tangazo lilifuta Mamlaka ya kisheria ya Uchifu lakini Mamlaka ya kiutamaduni yaliendelea hata wakati wa Nyerere
Chifu Abdallah Said Fundikira alikuwa Waziri kwny Serikali ya Nyerere baada ya kufutwa Uchifu lakin bado aliendelea kuwa Chifu wa Wanyamwezi na Ali chair sherehe hizo na wakati mwingine zikihudhuriwa na Viongozi wengine wa kisiasa
Hivyo hivyo kwa Chief Adam Sapi Mkwawa hadi anafariki 1994 aliendelea kuwa Chief wa Wahehe na akiwa Mkuu wa mhimili wa Sheria kwa maana ya Bunge
tuambieani ni chief gani kishawahi kushtakiwa kwa kuendelea kuwa chief na kusimamia mambo ya kiutamaduni baada ya tan
Umefanya vizuri kumkumbusha kikwete na Wafuasi wake alipohudhuria sherehe za kuapishwa chifu wa wahehe kwani njia ya muongo fupi wahenga walisema Ama kweli technologia haidanganyi.
Mchakato aliuhatibu yeye na Mbowe,walifanya miujizayao mbowe akamaliza mchezo kwa kususia kikao nakutoka nje, alafu dili likawa done.JK naye aache usanii wake,yeye ndiye chanzo cha matatizo yote hapa nchini,alikosea sana kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kuanzisha mchakato wa kuandika Katiba Mpya halafu katika hatua za mwisho akaenda kuuharibu yeye mwenyewe. Tena akae kimya tuna hasira naye sana
Tatizo wapambe, siyo Samia...kuna wajinga flan CCM wameinfiltrate national security organs ndo wanamlisha ujinga HangayaSAMIA anam dissapoint mpaka Kikwete !!!
She is such a lightweight. No brains.
Unarudisha kitu ambacho hata mashuleni kilifundishwa kilifutwa kwa tangazo rasmi la kisheria na sababu zake zikaelezwa ??