Mapungufu yake ni WAPAMBE, ila MAZURI yake ni YEYE Anaupiga mwingi''🤭🤭🤭Tatizo wapambe, siyo Samia...kuna wajinga flan CCM wameinfiltrate national security organs ndo wanamlisha ujinga Hangaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapungufu yake ni WAPAMBE, ila MAZURI yake ni YEYE Anaupiga mwingi''🤭🤭🤭Tatizo wapambe, siyo Samia...kuna wajinga flan CCM wameinfiltrate national security organs ndo wanamlisha ujinga Hangaya
Siasa maslahi imechangia haya.Hawa wataleta ukabila balaa
Mchakato aliuhatibu yeye na Mbowe,walifanya miujizayao mbowe akamaliza mchezo kwa kususia kikao nakutoka nje, alafu dili likawa done.
Kama hujui utajua badaesana tupo hapa!.
zitto junior Bulesi JokaKuu Tindo piteni hapa.Aendelee kushangaa,Chief mkuu wao ni Hangaya..
Ulikufa lini?
Umeandika upumbavuUmesahau mkabila number moja rais marehemu. Aliendesha nchi kibaguzi sana mpaka wasukuma wote wakajiona the first class ndani nchi.
Na akataka kuifanya chatle iwe gbdolite ya Tanzania.
JK naye ni sukuma gang? Maana Kila alopinga aliitwa Jina Hilo.Aendelee kushangaa,Chief mkuu wao ni Hangaya..
Ulikufa lini?
Huyu huwa kigeugeu, nakumbuka alikwenda kumsimika chief wa kihehe Iringa ina maana hakujua!!Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba"
Enzi za utawala wake:
View attachment 2254552
NdipoNusu hii ya pili ya mwaka Tutaona mengi.
Kuna wanyama pia walokatwa mikia ambayo imeanza kuota wamerudi kundini Kwa KAZI màalum, wenye akili tu wataweza ng'amua wanamtumikia nani.
Baada ya DHORUBA Kali na upepo usiku kucha, hatimaye KUTAPAMBAZUKA. Amen.
Na wasukuma aisee ukabila mbele. Chadema una waonea tuIla kama kuna kitu tunajivunia kama Watanzania ni kutokuwa wakabila na wadini.
CHADEMA wanajitahidi sana kuturudisha huko, kamwe tusiwaruhusu aisee.
Tusione dini na kabila kwenye kila kitu.
Amen. Ingawa tunguli zimepamba moto bt Mungu akiamua imekuwa.Nd
Ndipo
FDR
Atavikwa taji
Amewekwa pembeni kwa hiyo kaanza kuwashwa washwa..JK naye ni sukuma gang? Maana Kila alopinga aliitwa Jina Hilo.
Jifunze criticism ni nzuri kuleta ufanisi kama utachukuliwa in a positive way.
Alikuwa anaelekea kubaya, walianza Hadi kuwalipa machief wawe na ofisi zao wakaanza hd kudai utambulisho.Amewekwa pembeni kwa hiyo kaanza kuwashwa washwa..
Machifu Wana shida gani? Wanawakilisha historia na utamaduni.
Niliwaambia sa100 ni mpumbavu kamili watu wapuuzi wasio tumia akili zao wakasema natukana ....hiki kitendo cha yeye kushupaza shingo kwenye mambo ya uchifu yasiyo na tija yoyote kwa taifa letu kwa sasa hata kwa baadae na kuacha kupigania mambo ya msingi ni kigezo kamili cha upumbavuUchifu Wa Sasa umeasisiwa na Chiftress Hangaya kwa hisani ya CCM Tanzania. Mh.Kikwete hastahili kushangaa Bali kukemea Uchifu unaomea kila kukicha.
Hali hii ikiachwa iendelee hadi ifikapo 2025 nchi hii itakuwa vipande vipande.Tukifikia hatua hiyo,sisi Watanganyika tunaomba kushuka kwenye tuta ili turudi tulikokuwa kabla ya 1964.
Wewe unaongelea mambo ya past ..sisi tunataka kujua mambo ya present na future ....huyo unataka kualalisha upumbavu wa sa100 kwa sababu ya upumbavu wa rais yoyote aliye kwisha kupita ?[emoji849][emoji849][emoji849]tumia akili acha kutumia makalioMtu ambaye aliliharibu Taifa letu Kwa ukabila na ukanda ni Magufuli na ndiyo maana Mwenyezi Mungu alipoiona hatari hii akamfyekelea mbali na kumtupa kuzimu
Kwanini unatusemea wasukuma,Mimi ni Msukuma lakini sikujiona first class,Sasa mlitaka chato isiendelee kwani sio sehemu ya Tanzania ?Umesahau mkabila number moja rais marehemu. Aliendesha nchi kibaguzi sana mpaka wasukuma wote wakajiona the first class ndani nchi.
Na akataka kuifanya chatle iwe gbdolite ya Tanzania.
Lissu aliwahi kumkosoa wazi wazi suala la kuleta uchifu upya kwa kurejea katiba kua Chief Hangaya anavunja katiba,chawa na wapiga zumari wa watawala wakasema Lissu anaona wivu!!
Role model Jakaya Kikwete nae katoa yake ya moyoni!!
View attachment 2254743