Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"


Shughuli ndani ya kabila fulani ni utamaduni, lakini mikusanyiko ya machifu wa nchi nzima au makabila mengi inahitaji enabling law (legal basis)!
 
Umesahau mkabila number moja rais marehemu. Aliendesha nchi kibaguzi sana mpaka wasukuma wote wakajiona the first class ndani nchi.

Na akataka kuifanya chatle iwe gbdolite ya Tanzania.
Wasukuma tunajiona sawa na Watanzania wengine. Hatujaona mabadiliko yoyote wakati wa Magufuli. Shida yenu CHADEMA ni wadini na wakanda sana. Ni tatizo la nchi. Mbadilike.
 
Marais wote waliosimikwa uchifu, wameutumia uchifu kisiasa.

Hili jambo halijaanza na Samia.

Even as Samia is an airhead.

Huyo loony president kaenda mbali zaidi. Hakuna Rais mwingine aliyewahi kutawazwa kuwa mkuu wa machifu wa nchi nzima!
 
Watu wamechukua kipande kidogo mno katika kirefu alichokuwa anazungumzia hayo mambo.
 
mikusanyiko ya Machifu inahitaji enabling law?

nani kukupotosha ?

mikusanyiko ya Maulid na mahubiri ya injili huwa yanahitaji hiyo enabling law?

Enabling law ina apply only kama hiyo gathering itapewa Power za kiutawala au za kimamlaka

sasa nikuulize hiyo Mikusanyiko ya machifu ina demand any power of executing anything?
Shughuli ndani ya kabila fulani ni utamaduni, lakini mikusanyiko ya machifu wa nchi nzima au makabila mengi inahitahiji enabling law (legal basis)!
 
Ila kama kuna kitu tunajivunia kama Watanzania ni kutokuwa wakabila na wadini.

CHADEMA wanajitahidi sana kuturudisha huko, kamwe tusiwaruhusu aisee.

Tusione dini na kabila kwenye kila kitu.
Sasa hv ni wadini sana Tanzania
 
Mwandishi yule aliamua Kuongeza kurasa Ili kufuta hatua zake na kubalance story maana tension ilikuwa kubwa sana pande zote.

Bt message was sent and delivered
Mkuu
Mambo yaende pole pole

Wakianza kuparuana hadharani ni HATARI Sana

CDF kustaafu Mwezi Huu

Tuiombee nchi
 

Unachanganya sana mambo! Hujui kwamba kuna sheria inayosimamia shughuli za kidini?
 
Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba"

Kapata platform mwache aropoke, uchifu upo na machifu wapo na kama wanakutana wache wakutane ndio demokrasi hiyo ulioondoshwa ni uchifu kama taasisi rasmi ya utawala kiserikali lakini makabila yote yana machifu wao na wanawaheshimu sasa wakinaka kukutana wapelekewe polisi au vp mzee wa msonga nchi iko kwenye demokrasi wache wakutane wabadilishane mawazo tunawahitaji sana hasa wakati huu ambapo maadili yameporomoka katika jamii zetu ambapo ubakaji imekuwa ndio habari kila siku mpaka inafika mtoto kumbaka mama yake, na baba kumbaka mwanawe, wewe kikwete subiri mkutano ya siasa ndio kuliko na kula yako.
 
Mkuu
Mambo yaende pole pole

Wakianza kuparuana hadharani ni HATARI Sana

CDF kustaafu Mwezi Huu

Tuiombee nchi
Nusu hii ya pili ya mwaka Tutaona mengi.

Kuna wanyama pia walokatwa mikia ambayo imeanza kuota wamerudi kundini Kwa KAZI màalum, wenye akili tu wataweza ng'amua wanamtumikia nani.

Baada ya DHORUBA Kali na upepo usiku kucha, hatimaye KUTAPAMBAZUKA. Amen.
 
 
Mchakato aliuhatibu yeye na Mbowe,walifanya miujizayao mbowe akamaliza mchezo kwa kususia kikao nakutoka nje, alafu dili likawa done.

Kama hujui utajua badaesana tupo hapa!.
 
SAMIA anam dissapoint mpaka Kikwete !!!

She is such a lightweight. No brains.

Unarudisha kitu ambacho hata mashuleni kilifundishwa kilifutwa kwa tangazo rasmi la kisheria na sababu zake zikaelezwa ??
Tatizo wapambe, siyo Samia...kuna wajinga flan CCM wameinfiltrate national security organs ndo wanamlisha ujinga Hangaya
 
Uchifu ufutwe upotelee mbali kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…