Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

E7ytNYBXoAUb1c1.jpg

Kwa ishu ya mo kumbambika dereva mchovu shaka lazima iwepo
 
Kweli tunaambiwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Hivi si ndio mwaka huu Mhe Rais alisema kua kesi nyingi zilizoko mahakamani ni za kubambikiza? Sasa hao wanaobambikiza watu kesi ni kina nani kama siyo jeshi la polisi chini ya IGP SIRO? Kwanini anadanganya umma na kujispiza mchana kweupe?

Hizo kesi alizosema Mhe Rais za kubambikiza si ndio yeye alikua IGP? Huyu staafu tu kwa hiyari aache kuendelea kuharibu CV yake wazi wazi.
 
Sisi tuna wazoom tu,kutoka huku mashambani .
 
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu!

kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si punde atakuchafua bure
Apewe ubalozi? Hapana arudi kwao.
 
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu!

kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si punde atakuchafua bure
Mimi na majirani tunamuamini
 
unajuaje kama hajatumwa na huyo bos unaempiia kelele.?
 
Uyo mbona anastaff mwaka huu anamalizia ngwe yake kwaiyo mvumilieni tu
 
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu!

kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si punde atakuchafua bure
Ni wewe tu. Wantanzania wote tuliobaki tunamwamini sana. Ni kiboko wa mgaidi. Alipambana na magaidi wa Kibiti na sasa anapambana na gaidi Mbowe
 
Lissu naye alikuwa gaidi?
Mo naye alikuwa gaidi?
Akulina naye alikuwa gaidi?
 
Back
Top Bottom