Rais Mwinyi msimamishe kazi DC wa mjini unguja , kukaa kimya ni kuidhinisha kauli yake ya kibaguzi

Rais Mwinyi msimamishe kazi DC wa mjini unguja , kukaa kimya ni kuidhinisha kauli yake ya kibaguzi

Sasa hivi habebi. Hata kama anabeba huko kwao. Hata wamasai wakebebe silaha misituni
Acha dharau, ninyi mumeletwa na TIPPU TIP mkiwa kwenye Minyororo kutoka Misitu ya Kongo Uisilamu muliingizwa kwa nguvu acheni kuwaonea Wamasai wakazi halisi wa EAST AFRICA.

Huyo huyo TIPPU TIP aliogopa kwenda kuwachukua Wamasai Utumwa kwa sababu ya Sime Rungu na Mkuki na roho ya Kijasiri.
 
Acha dharau, ninyi mumeletwa na TIPPU TIP mkiwa kwenye Minyororo kutoka Misitu ya Kongo Uisilamu muliingizwa kwa nguvu acheni kuwaonea Wamasai wakazi halisi wa EAST AFRICA.

Huyo huyo TIPPU TIP aliogopa kwenda kuwachukua Wamasai Utumwa kwa sababu ya Sime Rungu na Mkuki na roho ya Kijasiri.
Sishangai. Sumu uliopewa kanisani kuhusu biashara ya utumwa .

Ujerumani yaiomba radhi Tanzania kwa makosa ya ukoloni​

Amina Mjahid
01.11.20231 Novemba 2023
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amesikitishwa na kile alichokiita aibu ya makosa yaliyofanywa wakati wa ukoloni wa Ujerumani nchini Tanzania na kuahidi kutoa ufahamu wa ukatili uliotokea

Rais wa Ujerumani aomba msamaha kwa ukatili wa kikoloni uliofanywa na nchi yake kwa Tanzania​

(CRI Online) Novemba 02, 2023

Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani ameomba radhi kutokana na ukatili uliofanywa na Ujerumani kwa Tanzania, wakati wa vita vya upinzani vya Majimaji dhidi ya Utawala wa Kikoloni wa Ujerumani mwanzoni mwa miaka ya 1900 ambapo watu laki 3 waliuawa, na kuwa moja ya vita vya kupinga ukoloni vilivyomwaga damu nyingi zaidi barani Afrika.

Akiongea kwenye jumba la makumbusho mjini Songea ulikofanyika ukatili huo, rais huyo amesema, “napenda kuomba msamaha kwa ambacho wajerumani walifanya kwa mababu wa hapa, kilichotokea hapa ni historia yetu ya pamoja, historia ya mababu zenu na historia ya mababu zetu huko Ujerumani."

Vita ya upinzani vya Majimaji vilichochewa na sera ya Ujerumani ya kulazimisha wakazi wenyeji kulima pamba kwa ajili ya kuuza nje. Tanzania ilikuwa sehemu ya himaya ya Ujerumani ya Afrika Mashariki ambayo pia ilijumuisha Rwanda, Burundi na sehemu za Msumbiji.

Rais Steinmeier amekutana na familia ya kizazi cha mmoja wa viongozi wa Vita vya Maji Maji, Chifu Songea Mbano, ambaye alikuwa miongoni mwa watu waliouawa Mwaka 1906
 
Hawa ndiyo wasomi wetu na viongozi wetu wamesoma lakini hawazijui jamii zinazo.wazunguka

Niviongozi lakini hawatambui Mira na desturi za watu wao wakati kutunza na kurinda Mira na desturi zao no jukumu lao

Usishangae kesho wakisema marufuku ngoma za asiri kupigwa mjini
Af utaskia wanajiita wasomi😂😂😂

Zingatia hapo hapo " ... kuRinda miRa na desturi nO jukumu lao"
 
Vipi akienda airport anaweza kuruhusiwa kupanda ndege akiwa na sime??

Tusiwaendekeze sana, ndo yaleyale ya magu na wamachinga.
Masikini wa Kipemba ni mpumbavu nyakati zote!! Wewe ndege ndo umeiona Mungu wako? Jinga kabisa usiye na hoja
 
DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha.


View: https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ

Kauli yake si tu inavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali inakiuka mikataba mbali mbali ya kimataifa ambayo Tanzania imeiidhinisha inayolinda haki ya raia kushiriki katika mambo ya kitamaduni.

Rejea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 13.

Rejea, Universal declaration of Human Rights, 1948.

Rejea, International Covenant on Economic, Social and Cultural rights.

Sheria zote hizo zinaipa serikali wajibu wa kulinda na kutengeneza mazingira kwa raia wake kuishi wakiwa na uhuru wa kufuata tamaduni zao.

Rungu na sime ni moja wapo ya utambulisho wa tamaduni ya wamasai inayokwenda pamoja na vazi la Rubega.

Kuwapiga marufuku wamasai kufuata tamaduni zao si tu kwenda kinyume na haki za binadamu bali ni kukiuka misingi yote iliyowekwa na jamii za kistaarabu katika kuhakikisha kuwa binadamu anafurahia uwepo wake duniani bila kunyanyapaliwa na mwenzake.

Kauli hii ya DC si tu ya kibaguzi bali inahatarisha ustawi wa Muungano na amani katika nchi.

Ni jambo la kukemewa na kila mwenye nafasi ya kufanya hivyo.

Nakuomba Rais Mwinyi usiache kumchukulia hatua DC huyu au la itatafsiriwa kuwa haya ni maagizo yako na itaingia katika historia ya Taifa kuwa katika utawala wako uliwahi kukandamiza haki za wengine.

Usione aibu kuchukua hatua.

wamasai wanachotakiwa kufanya ni kuondoka tu warudi nyumbani kwao, sisi watanganyika zanzibar sio kwetu, hatuwezi kuwa na haki kama za kulazimisha utamaduni wetu kama wa wamasai uwepo zanzibar. utamaduni kama wa kutembea na sime au na fimbo. ila wao utamaduni wa kuvaa tinted kama jini wanapenda wasiingiliwe hata wakiwa ulaya. ajabu sana.
 
Masikini wa Kipemba ni mpumbavu nyakati zote!! Wewe ndege ndo umeiona Mungu wako? Jinga kabisa usiye na hoja
Jibu swali masai anapanda simu kunako ndege??
Si unasema utamaduni unalindwa na sheria za kimataifa??

Na hili ndo tatizo la wabongo, kila kitu ooh viongozi wangetumia busara, sasa sheria za nini kama kuna busara busara kila kona.

Wamasai wana kitu gani cha kumtambulisha kua huyu ni masai kweli na huyu sie bali ni muhalifu??
Jitu lina sime, rungu na fimbo vyote hivyo vya nini mjini??anawinda nini??
 
Na wewe acha argument za kijinga. Unalinganishaje na airport ambako Sheria zake haziruhusu hata mafuta ya ngozi zaidi ya 100gm/mls. Huko micheweni na mchamba wima Nako ni airport?
Sheria za zenji pia haziruhusu, mbona mnakua na double standards. Za airport mnaziheshimu za Zenji mnataka busara itumike.
 
Walichokozwa. Masai mpaka agombane ujue kachokozwa na atachofanya atatumia fimbo kujihami na sio sime.. na kama ana kosa atakubali. Ingekuwa hatari sana Arusha MAANA wangeuwa watu, lkn Masai Hana madhara.. wanamwonea wivu anatumia akili yake kunufaika na utalii.. hiko ndo DC na wenzie wanaleta siasa
Huko chuga si ndio kwao, wenyeji wao wanawajua.

Huko ugenenini wanawajulia wapi kua sijui hatumii au kile au ni mpole, ana hasira nk.

Mkuu ni vyema ukienda ugenini fata sheria zao.
 
Wewe ni wa hovyo tuu! Aliyedunda mtu ndo akamatwe,

ujambazi hauna kabila bhana!

Yaani itokee Mmakonde mmoja kadunda mtu hapo Zanzibar basi wahusishwe wote?

Huo ni ubaguzi na ukabila tu hapo zenji
Zenji wanajihami, kama wameweza kushambulia kwa marungu yao watashindwaje kufanya tena.
 
Back
Top Bottom