Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kama ni utamaduni wenu fanya tuIla bana, tuache utani, hizo sime kwa karne hii waachane nazo tu,
Kesho kutwa mm nikiwa natembe na AK47 mtaniruhusu kwa kuwa sipigi nayo mtu?
Sheria ikigusa masai watu wanalalamika balaa,Yeriko Nyerere give us a break
Fimbo na sime za kina Ole Ngurumwa zinahatarisha Muungano?🤧
Hivyo Wamarekan/Watanzania wasizuiwe kutembea na AR-15 machine guns barabarani
Maasai sio watu exceptional zaidi ya WaTz wengine
Zanzibar mibaguzi sana,, nimefurahi Kwa kichapo walichopewa wajukuu chotara wa mwarabuWe mwenyewe ndio unajenga hoja ktk msingi wa ubaguzi. Zanzibar nayo ina utamaduni wake, ukifika Roma fanya km waRoma, wakiinama nawe inama. Pili we huwajui vizuri wamasai, hizo sime na fimbo za nini huko mjini Zanzibar? Sime na fimbo zina mantiki kule porini, eti wametumia kujihami. Ni kwamba hizo ndiyo silaha wanazotegemea ukitofautiana nao. Wapigwe marufuku vinginevyo warudi kule porini kwao.
WALIO tandikwa ndo ng'ombe wenyewe yakheeeWamasai wanatembea na vifimbo zao kwa sababu ya kuchunga ngombe zao. Jee zanzibar huwa wanachunga ngombe? Acheni hoja za kitoto. Mambo yanabadilika.
Utamaduni wa hovyo tuMbona ukeketaji watu wameelimishwa, wakaacha,na ilikuwa utamaduni wa baadhi ya jamii.
Sasa kwa dunia ya artificial intelligence, hayo mafimbo na marungu, na mavisu yana faida gani? Ni sawa na kukomalia kulala porini Ngorongoro, bila nyumba eti utamaduni
Hizo fimbo ni za kuchungia ngombe, wana ngombe huko zanzibar hao wamasai? Kuna simba zanzibar kwamba watakutana naye wapambane naye kwa kutumia hizo silaha?
Utamaduni wa konyo
Watakuja watu wanatembea na mabomu ya kujitoa muhanga, na ndio utamaduni waoKama ni utamaduni wenu fanya tu
Tz kuna sehemu wanatengeneza mabomu? Acha kuandika fallaciesWatakuja watu wanatembea na mabomu ya kujitoa muhanga, na ndio utamaduni wao
Mangi.. SI Kila kitu chuki ya dini nyingine ni taratibu na Sheria zinazolinda usalama wa raiaSerikali ya mapinduzi inapotoshwa kwa hili la wamasai. Kuna chuki kubwa za kidini dhidi ya jamii Za watanganyika
Ila kwa ajili ya siasa watakanusha , wafute tangazo lao kimyakimya dhidi ya wamasai.
Kweli watu wanabadilika! Huyu si ndiyo 'YERICKO NYERERE' aliyekuwa anaonekana kama 'Great thinker' kwa makala zake mbalimmbali zenye akili hapa JF? Mimi nadhani kuna mtu atakuwa anatumia ID yake.Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazokataza kupigana hadharani au kificho.
Lakini naomba nitofautiane na hatua iliyochukuliwa na serikali ya Zanzibar, Amri kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime/visu vyao, Ni Kauli Haramu na ya kibaguzi inayohatarisha muungano wa Tangabyika na Zanzibar.
Ifahamike kuwa Fimbo na Sime kwa Jamii za kimasai ni sehemu ya “vazi lao la asili”, ni Sehemu ya utamaduni wao, Ni Identity yao, na hivyo kujaribu kwa aina yoyote kuondoa kimoja wapo katika hivyo vinavyokuwa ndani ya mwili wa Masai ni kutangaza kuwafukuza Wamasi Zanzibar, Hili ni tangazo la kijinga limekurupukwa na mamlaka za Zanzibar!
Kwamiaka yote tangu kabla ya uhuru hadi leo, Jamii za Wamasai wapo Zanzibar na utamaduni wao wa visu/Sime na Fimbo, hakujawahi kuwa hatari kwa raia yoyote, Kwanini iwe leo baada ya Masai kujihami waliposhambuliwa na mgambo wa mji? Serikali ya Rais @dr.hmwinyi itafute jawabu la kumaliza mzozo huu sio kufunika kwakuwafukuza Wamasai, Tatizo liko kwa mamlaka za jiji, Tatizo liko kwa Wakuu wa Mikoa, na mamlaka zingine za jiji.
Unawazuia Wamasai wasibebe fimbo unataka Wabebe Vikapu vya Nazi na vigemeo vya Litembo? Unataka wabebe Usinga? Unataka wabebe karafuu? Noooo nooo tukatae unyanyasaji huu kwa jamii ya kimasai! Ukamilifu wa Masai ni fimbo na sime. Sasa unaka awe na shuka tu kama dera?
Kesho yataibuka Bara Wapemba watashambuliwa, Je serikali iweke amri wapemba wasizaliane kwa Wingi Bara ambao ni sehemu ya utamaduni wao? Nooo Nooo! Tukatae ubaguzi huu.
Mh Rais @dr.hmwinyi ili kunusuri maafa zaidi na kuoondoa hii taswira mbaya ya ubaguzi iliyotengenezwa na mamlaka za mji hapo Unguja, Ninakuomba na kukusihi Mh Rais, tengua hii kauli ya kibaguzi, Haifai kutolewa na kiongozi wa serikali katika ulimwengu wa leo! Madhara yake ni makubwa zaidi mbeleni.
Serikali ijifunze kutatua migogo kwa hekima na busara, Majibu ya hasira ya kiserikali yanaweza kuleta maafa zaidi kuliko kutatua, Nimeisikiliza kauli ikitolewa na yule kiongozi wa mjinibZanzibar (Unguja) ni wazi alitawaliwa na ghadhabu zaidi kuliko hekima ya kiuongozi, Amewahukumu Wamasai bila kujaribu kujua undani na kutafuta jawabu, Badala yake ametafuta jibu ambalo ni la hovyo zaidi!,
Nimesikitika sana kwa kauli hii ya serikali ya Zanzibar katika zama hizi za utandawazi na utandaridhi! Utengamano wa taifa letu ni muhimu kuliko hizi chuki zinazokolezwa na namlaka za nchi!
Na Yericko Nyerere
View attachment 2890368
Sikutarajia makala ya namna hii yaandikwe na mtu kama YERICKO NYERERE mtu ambaye wakati fukani alionekana kama 'Great thinker hapa JF! Yaani wamasai kukatazwa kutembea na fimbo na masime baada ya kufanya 'tukio la kihalifu' iwe sababu ya kuhatarisha muungano? Hivi nyinyi watu mnauelewa muungano vizuri lakini?Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazokataza kupigana hadharani au kificho.
Lakini naomba nitofautiane na hatua iliyochukuliwa na serikali ya Zanzibar, Amri kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime/visu vyao, Ni Kauli Haramu na ya kibaguzi inayohatarisha muungano wa Tangabyika na Zanzibar.
Ifahamike kuwa Fimbo na Sime kwa Jamii za kimasai ni sehemu ya “vazi lao la asili”, ni Sehemu ya utamaduni wao, Ni Identity yao, na hivyo kujaribu kwa aina yoyote kuondoa kimoja wapo katika hivyo vinavyokuwa ndani ya mwili wa Masai ni kutangaza kuwafukuza Wamasi Zanzibar, Hili ni tangazo la kijinga limekurupukwa na mamlaka za Zanzibar!
Kwamiaka yote tangu kabla ya uhuru hadi leo, Jamii za Wamasai wapo Zanzibar na utamaduni wao wa visu/Sime na Fimbo, hakujawahi kuwa hatari kwa raia yoyote, Kwanini iwe leo baada ya Masai kujihami waliposhambuliwa na mgambo wa mji? Serikali ya Rais @dr.hmwinyi itafute jawabu la kumaliza mzozo huu sio kufunika kwakuwafukuza Wamasai, Tatizo liko kwa mamlaka za jiji, Tatizo liko kwa Wakuu wa Mikoa, na mamlaka zingine za jiji.
Unawazuia Wamasai wasibebe fimbo unataka Wabebe Vikapu vya Nazi na vigemeo vya Litembo? Unataka wabebe Usinga? Unataka wabebe karafuu? Noooo nooo tukatae unyanyasaji huu kwa jamii ya kimasai! Ukamilifu wa Masai ni fimbo na sime. Sasa unaka awe na shuka tu kama dera?
Kesho yataibuka Bara Wapemba watashambuliwa, Je serikali iweke amri wapemba wasizaliane kwa Wingi Bara ambao ni sehemu ya utamaduni wao? Nooo Nooo! Tukatae ubaguzi huu.
Mh Rais @dr.hmwinyi ili kunusuri maafa zaidi na kuoondoa hii taswira mbaya ya ubaguzi iliyotengenezwa na mamlaka za mji hapo Unguja, Ninakuomba na kukusihi Mh Rais, tengua hii kauli ya kibaguzi, Haifai kutolewa na kiongozi wa serikali katika ulimwengu wa leo! Madhara yake ni makubwa zaidi mbeleni.
Serikali ijifunze kutatua migogo kwa hekima na busara, Majibu ya hasira ya kiserikali yanaweza kuleta maafa zaidi kuliko kutatua, Nimeisikiliza kauli ikitolewa na yule kiongozi wa mjinibZanzibar (Unguja) ni wazi alitawaliwa na ghadhabu zaidi kuliko hekima ya kiuongozi, Amewahukumu Wamasai bila kujaribu kujua undani na kutafuta jawabu, Badala yake ametafuta jibu ambalo ni la hovyo zaidi!,
Nimesikitika sana kwa kauli hii ya serikali ya Zanzibar katika zama hizi za utandawazi na utandaridhi! Utengamano wa taifa letu ni muhimu kuliko hizi chuki zinazokolezwa na namlaka za nchi!
Na Yericko Nyerere
View attachment 2890368
Huo upumbavu ni wewe unao sio wao dunia yote kuna jamii flan flan utazikuta hazibadiliki na kutaka kulazimisha unakuwa wewe ndio mjinga. Kenya watu wapokot Turkana na Maasai ni the same uganda wapo Namibia wapo Botswana wapo marekan wapo Scotland wapo Australia wapo nk. Hiz jamii kwanza ndizo waHuu wote ni upumbavu tu, wote hao wanapaswa wachukuliwe hatua kama watanzania wengine.
Hatuwezi kuwa na sheria ambazo zinawabeba group la watu na zinakandamiza wengine.
Wasukuma ambalo ndilo kabila lenye watu wengi ufugaji ni sehemu ya utamaduni wao, ila wananyanyaswa kila kukicha na ng'ombe zao na wanaambiwa wauze mifugo yao Kwasababu hakuna sehemu za malisho. Ila kuna kabila limeachiwa hifadhi wanafuga bila kusumbuliwa na mamlaka.
Ifike mahali huu ujinga ufike kikomo na watanzania wote wawe na haki sawa
Karne gan aisee. Hiv ukimuona mwarabu kavaa kanzu unamuona ni mjinga flan sio. Au ukienda Yemen wanavyovyaa yale majambia unahc vichaa sio.Ila bana, tuache utani, hizo sime kwa karne hii waachane nazo tu,
Kesho kutwa mm nikiwa natembe na AK47 mtaniruhusu kwa kuwa sipigi nayo mtu?
Akikujibu unitag mkuuNitajie faida 10 za Huu muungano adimu?
Ikiwezekana taja foida za muungano Kwa upande wa Bara!
Ngoja nikuache akili zako ni za kijinga, hao pokot kwa kufanywa special saivi wanamiliki siraha za moto hadi wanapambana na Jeshi.Huo upumbavu ni wewe unao sio wao dunia yote kuna jamii flan flan utazikuta hazibadiliki na kutaka kulazimisha unakuwa wewe ndio mjinga. Kenya watu wapokot Turkana na Maasai ni the same uganda wapo Namibia wapo Botswana wapo marekan wapo Scotland wapo Australia wapo nk. Hiz jamii kwanza ndizo wa
Karne gan aisee. Hiv ukimuona mwarabu kavaa kanzu unamuona ni mjinga flan sio. Au ukienda Yemen wanavyovyaa yale majambia unahc vichaa sio.
Lazima mtarudi kwenu hatuwataki hukuWewe uvunje huo muungano uwarudishe kwao hao wazanzibari unangoja nini ?
Wale wanavaa majohoKanzu ni vazi takatifu,Yesu pia amevaa.Mapadiri,maaskofu,
Hawa wamasai sio wabantu,ni wakutoka pembe ya Afrika.Na hao wenye asili ya pembe ya Afrika kama wasomali,waarabu,wa Ethiopia,wameacha mila za kutembea na silaha kama sime,visu,majambia,bakora na fimbo.Mila za kutembea na silaha ni hatarishi na zimepitwa na wakati.