Na kwa kutokuwekwa wazi ndio lile ombwe alilosema liliwapata ex- CDF, IGP, DGTISS baada ya kuwa Magufuli amefariki hawakujua waanzie wapi kila mmoja ana jibu lake.Katiba iko wazi ambacho hakiwekwi wazi ni hiyo taarifa kuwa majukumu ya Rais yatakuwa chini ya nani.
Ni spika wa bunge but kifungu mpaka nikarejee katiba kama unakumbuka way back jiwe katutoka moja ya mtu alikua anakinyemelea alikua kimbunga jobo1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Mtu akiwa katibu mkuu kiongozi ni almost kafika level za juu kiutumishi hivyo hupewa kofia "ubalozi" kama Kinga hii ndio pengine ilileta ugumu akaishia kushushwa hadi mbunge wa kuteuliwa bila kupangiwa ubalozi pengine mbeleni atatolewa ikiwa ni strategy ya kumuweka mbali na nchi kama alivyofanyiwa Polepole ili kupunguzwa makali.Jamaa alipaswa kuwa jela. Kosa lake lilikua wazi
Tanzania, hata kile kifungu kilichofanyiwa marekebisho cha (3) 2 b na c bado kinamtambua km spika ndiye anayekaimu Ila shughuli za kiuongozi za serikali zitakuwa chini y’a Waziri mkuu..Katiba hii unayotumia ni ya nchi gani ?
Ya Tanzania haisemi hivyoTanzania
Sasa alie mpangia ziara ni nani mkuu??? Wakati magu alikuwa tayari keshafariki!! Au swala la chain of command halipo kabisa?? Kama vice president unawezaje pangiwa majukumu na katibu mkuu kiongozi??Ukimsikiliza ex - CDF Mabeyo kwenye ile interview akizungumza kuhusu siku za mwisho mwisho za Magufuli katika uongozi hadi kifo utagundua yafuatayo.
Nchi itaachwa kuongozwa na rais aliyepo iwe ndani au nje ya nchi siku akifariki wakati yupo madarakani, kwa tafsiri nyepesi ni kuwa nchi kuanzia March 6 hadi 17 [ hii ni kwa walichoambiwa raia wa kawaida ] nchi haikuwa na rais maana haikuwa na rais kikatiba ila sababu hakuwa timamu kutekeleza majukumu yake sababu ya ugonjwa bali nchi alikuwa anaongoza mtu mwingine kabisa asiyekuwepo katika chain of command [ ndio hao ulioambiwa walitaka kupindua meza] ili aliyetakiwa kuwa anapewa updates na kupaswa kuwa karibu badala yake akapangiwa ziara mkoani!
Nimejibu kwa kifupi tu ila swali lako linakosa validity kwa sababu ya hilo jibu nililokupa kupitia ile interview.
Sasa alie mpangia ziara ni nani mkuu??? Wakati magu alikuwa tayari keshafariki!! Au swala la chain of command halipo kabisa?? Kama vice president unawezaje pangiwa majukumu na katibu mkuu kiongozi??
Wakili wake nitamteteaUna mwanasheria?
Asante Mkuu. Swali ni kwa nn Mabeyo na Bashiru walijipenyeza kwenye maamuzi na hawajatajwa kikatiba?Yeah nimeipata article no 37
Wewe huwezi kuwa wakili, labda amicus curiae😂Wakili wake nitamtetea
Hiyo ya naibu waziri mkuu umeitoa kwenye katiba ipi?Mbona Katiba ipo wazi!
Rais
Makamu wa Rais
Waziri Mkuu
Naibu Waziri Mkuu (Kwasasa)
Spika wa Bunge
Jaji Mkuu
Watu wanaropoka tuHiyo ya naibu waziri mkuu umeitoa kwenye katiba ipi?
Si wewe mwanasheria wangu 🤣🤣Una mwanasheria?
🙏😻😻Wakili wake nitamtetea
Muache wakili wangu 😂Wewe huwezi kuwa wakili, labda amicus curiae😂
Kwa mujibu wa katiba sura ya 3 i ibara 4(b) makonda nda anaachiwa nchi1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Nilisharekebisha muda mrefu labda kama haikurespond!Hiyo ya naibu waziri mkuu umeitoa kwenye katiba ipi?
Sawa mkuu, ilikuwa haijarespond labda.Nilisharekebisha muda mrefu labda kama haikurespond!
Mkuu apo ni ignorance sasa. Japo pia tunaweza sema contingency approach inawez ikawa ilitumika pia. Japo mm najiuliza pia kuhusu la swala chain of command.Asante Mkuu. Swali ni kwa nn Mabeyo na Bashiru walijipenyeza kwenye maamuzi na hawajatajwa kikatiba?