Rais na Taasisi saidizi zirudi Dar es Salaam, Makamu wa Rais abaki Dodoma

Perfect! Umeongea sense LAKINI: Sababu kubwa ya Nyerere kuhamia DDM ilikuwa usalama eti kwa vile adui yuko most likely kutokea baharini, therefore ukienda DDM kukushambulia mji Mkuu itakuwa vigumu. Unajua kuwa USA anaweza akakupiga kutokea NY mpaka DDM bila kuja pwani yetu?
Pili eti mikoa ya kandokando/mpakani mwa Tanzania itakuwa rahisi kupata huduma kwa vile DDM iko katikati... alitolea mfano wa barua na kuja kwa shughuli za kiserikali...hata barua kutoka Bukoba say kuja DDM zitafika haraka. Nadhani muda wa kutuma barua kwa post unakwenda mwisho.
Ninachokubali ni kuwa kama Moshi /Bukoba kuna kilimo cha kahawa, kiwanda cha kubangua/kupack kahawa kijengwe huko,,,. .... etc etc, Lakini ya makao makuu sababu za kuhama kwake zimepitwa na wakati labda ziundwe zingine. Ni zipi mpya?..
 
Mimi ni mstaafu bwashee!
Sasa kama ni mstaafu unafaidika na nini kwa sasa hadi kujikana wewe mwenyewe kile ulichokifanya jana ambacho kimsingi ndio akili sahihi ilitumika?

Mstaafu gani wewe unakashifu kiwiliwili kisicho na pumzi ya kuja kujiteteta kwamba kile ulichokiongea ni uongo au kweli?

Huyo aliyepo sasa atakuamini kwa kutumia kigezo gani wakati unaonesha wewe ni kinyonga, si utambadilikia hata yeye muda sio mrefu?

Kama wewe ni staafu unafahamika kwamba tayari una busara kwanini ulete dhihaka, lengo lako ni lipi?

Kwanini utake makao makuu ya nchi yasiwe DODOMA badala yake yabaki DSM kwa maslahi yapi kama sio kukumbatia raha huku wananchi mkiwatesa kwa kuzitumia kodi zao kwa mambo yenu?
 
Sasa kama serikali ilishahamia dodoma kuna ulazima gani wa kurudi Dar es salaam.? izo huduma zitaifata ikulu Dodoma taratibu
 
KUAMIA DODOMA NADHANI ALIAMUA MTU.MMOJA KAMA ILIVYOFANYIKA KUNUNUA NDEGE KWA CASE TENA KWA HERA ZA WALIPA KODI...HUYU MWEDAZAKE SIJUI ALIKUWA ANAYIPEREKA WAPI? MUNGU MWACHE AITWE MUNGU,.SIO KILA MTU AWAZA KUWA KIONGOZI MKIUU...DAAAAH! WE WERE IN.A KONG DIRECTION ...ONE MAN SHOW ...DAAH!
 
Bakini dodoma. Eti email inafika kokote haraka kwan umeambiwa technology inafanya kila kitu? Waulize watu wa Musoma, Mwanza, Bukoba, Kigoma juu ya safari ya kutoka huko mpaka Dar

Angalia urahisi wa maofisa wa serikali kutoka dom kwenda mikoa mingine

Dom ndo makao. Imetoka hiyo. Na uzuri mwingine miundombinu inajengeka kirahisi sio kama dar ambayo imekuwa shaghalabaghala
 
Pumbafffff
 
Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
Ondoa matapishi yako hapa..
 
Yanayojitokeza baada ya serikali kuhamia Dodoma yamedhihirisha huu siyo wakati muafaka.

Dodoma pametupa majonzi ujue!
 
Wewe jinga unatuambia Nini, nchi imehamia Dodoma na nchi imeingia uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa au malengo..tafadhalini wananchi tuacheni msituchokoze kabisaa
 
We bado mtoto unajua maana ya kuhamia Dodoma..maliza kwanza shule ndio uje hapa na uharo wako...hizo fikra zako peleka kwa mmeo na WATOTO.ina maana.unataka kutuambia mama Samia na Magufuli walifanya kosa kufanya haya maamuzi..au unadhan hawakuamua kwa pamoja..na Baraza la Mawaziri...usilete ujinga wako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…