Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,566
- 1,403
Umekasirika? 😛Wapuuzi wazungu wale walikuwa wapi wakati idf wakiwaua watoto wakipalestina waliokuwa na kiu wakitafuta maji badala yake wakapigwq na mabomu kwa makusudi kwa silaha za marekani na ulaya ambazo wanapewa kila siku ili kuuwa na kuangamiza mamilioni ya watoto wanaonyimwa hata maji na chakula kwa makusudi,
Leo hii wanapata wapi ujasiri wa kuongelea haki ? Wakati jambo lipo mahakamani
Wao mtuhumiwa wa mauaji ya halaiki ya watu wanamlinda kwa gharama zote,
Kwa mikono yao iliyojaa damu wakae kimya , wauwaji wakubwa
Wenye kusoma kwa ufahamu wanaweza kutambua hilo, wenye akili ndogo walio wengi ndio hao wanaoishia kumkejeli mleta uzi.Ukilisoma hili andiko kwa kutuliza kichwa utagundua Manjaa anaiumbua serikali ya Mama. Ukisoma mstari baada ya mstari utagundua anaikosoa serikali kwa namna ya "kupendeza"
Ukilisoma hili andiko kwa kutuliza kichwa utagundua Manjaa anaiumbua serikali ya Mama. Ukisoma mstari baada ya mstari utagundua anaikosoa serikali kwa namna ya "kupendeza"
Hawezi kukupatia jibu..... 🙂..Wazungu walikuwa wapi wakati wakati Watanzania wenzetu kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Deus Soka, Kipanya, Ally Kibao, Mdude Nyagali, na wengine, wanauwawa?
Huyu ni kitengo mnabidi kuwa naye makini Sana Is here for hunting something
Nyerere hakuwahi kuwagomea ,bali alikuwa hawaogopi!...maskini jeuri!Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia eti serikali yetu imewaomba $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Jumatano Njema.
Paskali
maswala ya tanzania yatatatuliwa na watanzania full stop, na hawana usafi wa kuongelea kuhusu haki sehemu yoyote duniani kwa ushenzi wanaofanya kwa kuuwa watu kila siku na kulinda wahalifu kwa maslahi ya pesa
Juzi imegundulika kampuni ya blair inahusika na kupewa tender kuwahamisha wapalestina na kujenga nyumba za waisrael gaza , watu kama hawa ambao wanaua watu wazi wazi for monry wakae kimya
Kwahio wewe unakataa kuwa hawajaomba msaada au tumesingiziwaWanabodi

Hawezi kukupatia jibu..... 🙂
Hapa Tanzania hali iko shwari? watu hawauawi..unatoa reference ya mambo ya mbaaaali hapo unapoishi hutaki kupaongelea..maswala ya tanzania yatatatuliwa na watanzania full stop, na hawana usafi wa kuongelea kuhusu haki sehemu yoyote duniani kwa ushenzi wanaofanya kwa kuuwa watu kila siku na kulinda wahalifu kwa maslahi ya pesa
Juzi imegundulika kampuni ya blair inahusika na kupewa tender kuwahamisha wapalestina na kujenga nyumba za waisrael gaza , watu kama hawa ambao wanaua watu wazi wazi for monry wakae kimya
Ndio maana nasema hata kama tukiongelea ya tz ni sawa ila hawa wanaonuka damu za watu hawapaswi kuzungumzia haki maana siyo watu wa haki bali wapo kimaslahi , wanapata wapi nguvu ya kuongelea jambo liliopo mahakamani? Huku muhalifu anayeua watoto kila siku wakimtumia silaha kila siku, mtu mjinga tu anayeweza kuwasikiliza hawa mashetani wa ulaya na kuwakna eti ndio watu wa hakiHapa Tanzania hali iko shwari? watu hawauawi..unatoa reference ya mambo ya mbaaaali hapo unapoishi hutaki kupaongelea..
Kuna wajinga wanawaona hawa wazungu kama malaika kumbe ni zaidi ya mashetani , walimuuwa hadi secretary general wa UN alivykuwa anaenda congo kusuluhisha ,hawana aibu kabisa,eti leo ndio wanajua hakiUmekasirika? 😛
Nyerere alikataa lini mimi nilikua moja wapo karibu na Tandau pale Lumumba mwaka 1981 alipohutubia Nyerere kukataa shilingi isishuke thamani, hakukataa mikopo. Hukumbuki Nyerere aliongiza viongozi wa nchi fukara kwenda Cancun Mexico kudai chao walichoibiwa na Reagan akawabeza?Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Jumatano Njema.
Paskali
Duuuuuhhh hii hatari lakni kiuhalisia kila mtu ana mbabe wake hizo sovereignity ni fake tu ndo maana Nyerere alikubali kung'atuka baada ya kuona hali imekuwa ngumu na hakutaka kuharibu ile legacy yake juu ya alichokisimamia kabla na baadaye ndo nchi ikaanza kutekeleza condition za SAPS ili tusaidiwe na wabepari.Wanabodi

Hizo rasilimali ulizojingambia ni mali ya so called wawekezaji (mabeberu), tena mmewapa sawa na bure kwa mikataba inayotubana.Wanabodi