Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Kucheza kwenye mdundiko, (dance to their tunes)Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Jumatano Njema.
Paskali
Mambo ya Gaza pereka misikitini huko ili miles vizuri.maswala ya tanzania yatatatuliwa na watanzania full stop, na hawana usafi wa kuongelea kuhusu haki sehemu yoyote duniani kwa ushenzi wanaofanya kwa kuuwa watu kila siku na kulinda wahalifu kwa maslahi ya pesa
Juzi imegundulika kampuni ya blair inahusika na kupewa tender kuwahamisha wapalestina na kujenga nyumba za waisrael gaza , watu kama hawa ambao wanaua watu wazi wazi for monry wakae kimya
??That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Alipotaka kupinduliwa akawaita hao hao mabeberu wakazuia jaribio la kumpindua. Sijawahi mwelewa Nyerere maana anaongea hiki na kesho ana jirudia kupinga falsafa zake. Katuachia haya matatizo yote. TrashWanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Hitimisho
Kwa vile Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, je tumshauri Rais Samia asikubali misaada ya nchi
mabeberu, yenye masherti itakayo ingilia sovereignty yetu, au kwa vile ni sisi wenyewe ndio tumewaomba msaada wa $ milioni 8 hawa mabereru zitusaidie kwenye uchaguzi, hivyo kwa vile wenye shida ni sisi, hatuna jinsi ni lazima tujinyenyekeze tusaidiwe, na kama sherti ni ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, nacho kajivinjari kwenye lile jambo letu, then kaachiliwe tuu?.
Jumatano Njema.
Paskali
Huyu mwandishi ameishiwa pozi baada ya kunyanyasika na watawala.pia tuwe waangalifu kutoa majina kwa watoto wetu ya maana nzito sana.majina kama Mayalla,Masumbuko,Mawazo au Shida sio majina ya kuwapa watoto.Sasa mwenzetu nadhani mzimu wa njaa unamuandama njaa inamuuma haelewi asimamie wapi.Tumsamehe tu.Wanabodi

Tunaweza jenga matundu ya vyoo?Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!. Kama tulitangaziwa tutafanya uchaguzi wetu bila kutegemea fedha za wafadhili, halafu mijitu imekaa ulaya na kutusingizia eti tumewaomba fedha!, serikali yetu ikanushe uongo huu!. Ila kama serikali yetu ilituambia tutafanya uchaguzi bila kuwategemea wafadhili, halafu tukawaomba watusaidie, then hakuna jinsi, lazima tuu tukubali matokeo ya umasikini wetu ila tuambiwe na sio kusubiri wazungu waseme ndipo tujue kuwa kumbe sisi bado ni omba omba. Ushauri kwa serikali yetu, ikiwa kuna kitu huna uwezo nacho, hakuna ubaya kuomba kusaidiwa, ila uwe proactive kusema kabla, na sio kusubiri hadi kuaibishwa kwa kuwa ombaomba, ndipo ije kuwa reactive kuwa tuliomba!.

Mgomo wake uliishia wapi ?Wanabodi

Njaa Leo kashibaChawa wa mama umeamua kuja humu jukwaani kuuanika uchawa wako. Nakereka na jinsi unavyoamia kujitoa ufahamu. Hayo mambo waachie akina Lucas Mwanshambwa, not a legend like you
Huyu Pascal ni CHAWA ingawa ukimwambia ataanza kurukaruka kama bisi, mbaya zaidi anajiona anasema kwa maslahi ya taifa, pity.Mkubwa watu kuhamasisha muheshimu sheria zenu nalo ni tatizo? Watu kuwahamasisha mfanye uchaguzi huru na wa haki kuna ubaya? Ni sovereignity gani kuumiza watu wako kwakua mmetofautiana kitazamo ndio huo zmnaona uhuru kwenu? Hii nchi yetu sote ikiharibika haichagui sisiemu au CDM na by the way wananchi wengi hawana vyama huu Uchawa hautupeleki popote
No reform No Election
Utakuwa ni ujinga maradufu kuwaona ulaya hawastahili kukemea mabaya wakati hapo unapoishi kuna mabaya hayo hayo yanafanyika unayowashutumu ulaya kuyafadhili lakini wewe hutaki kuyakemea..hadi ulaya wanaingilia kuyakemea, huwezi kujali watu usiowajua wakati umeshindwa kujali watu unaowaona na kuishi nao wakitendewa sivyo na serikali yako.Ndio maana nasema hata kama tukiongelea ya tz ni sawa ila hawa wanaonuka damu za watu hawapaswi kuzungumzia haki maana siyo watu wa haki bali wapo kimaslahi , wanapata wapi nguvu ya kuongelea jambo liliopo mahakamani? Huku muhalifu anayeua watoto kila siku wakimtumia silaha kila siku, mtu mjinga tu anayeweza kuwasikiliza hawa mashetani wa ulaya na kuwakna eti ndio watu wa haki
Ndugu Mayalla ujue ukiandika upuuzi huwa nasikitika sana? Wewe akili unazo ila kuna wakati unazivua ili tu uvae ujinga. Ukitulia naomba usome kwa umakini uone ulichoandika.Wanabodi