Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu!

Wayahudi wapo kila kona ya dunia, waliteseka wakapambana waache watawale. Wapalestina wanatakiwa wakazane na shule nao wasambae duniani. Maana wanaweza kuomba hifadhi kama wakimbizi katika hizo nchi. Ndani ya miaka 30 ijayo wanaweza kuwakabili wayahudi. Ila kama wakiendelea kukazana na madarasa na swala tano. Waache wafe waende Janat Firdaus.
 
Katika Bajeti ya Taifa ikiyopitishwa juzi na Bunge.... Zaidi ya Trillion 10 inategemewa kutoka kwa nchi wa wahisani (begging)...... Sasa ulichokiweka hapa unadhani wanakusikia??
 
Chawa wa mama umeamua kuja humu jukwaani kuuanika uchawa wako. Nakereka na jinsi unavyoamia kujitoa ufahamu. Hayo mambo waachie akina Lucas Mwanshambwa, not a legend like you
Wazee wa kubuhujikwa machozi.Njaa mbaya mkuu maana Mayalla kagonga 60yrs haelewi anamaliza vipi kipindi chake hadi 70yrs.ana stress kali hakujiandaa vizuri huku uzeeni.
 
Rubbish.
 
Ndio akili yako imeishia hapo halafu kutwa kushupaza shingo unataka haki
 
Tanzania ni nchi huru yenye kujitawala, waheshimu uhuru wetu, tinawajua ni walafi na wachonganishi kama walivyofanya libya ,iraq na sehemu nyingi kwa maslahi yao binafsi bila ya kujali mamilioni ya watu waliouliwa kwa ajili ya maslahi ya mabeberu
Tuna mahakama na tuheshimu uhuru wa mahakama
Wao haki za watanzania zinawauma sana huku wakiua watoto wanaogambania maji, huo si zaidi ya ushetani?
Kila nchi iheshimu uhuru wa nchi nyingine
 
Ndio akili yako imeishia hapo halafu kutwa kushupaza shingo unataka haki
Haki haupewi unaihangaikia. Waisrael walijihangaikia na kujipambania hawakuamka na kujikuta Jerusalema. Huku Ujerumani kuna msemo kwa hali ya dunia ilivyo wapalestina wote wakawa wakristo vita itaisha mapema asubuhi. Ni kitu ambacho ni ukweli lakini wapalestina hawawezi kukifanya. Cha umuhimu wakomae na shule na wainfiltrate mataifa ya magharibi then waichukue nchi yao.
 
yaani serikali yako haina uwezo kujiendesha, alafu unasema asikubali misaada, una akili kweli wewe? your government does not afford to fund a budget even of a single year,kwa hiyo unataka pesa za kuendeshea nchi atoe wapi? au aanze kupora kwa raia na wabadilisha fedha kama msukuma mwenzio alivyofanya baada ya kubanwa shingo?
 
Watanzania wasimame na nani?? Hawa hawa ambao ndugu zao wanatekwa, kubakwa na kuuawa bila serikali yake kusema chochote???
 
Akili zako za kijijini huna hata hoja ya maana, nani aliyokwambia wanapigania dini? Haya ndio madhara ya elimu duni ,watu wazito sana kufikiria
 
Sasa jiwe angeweza kukwepa mtego wa misaada ya Wazungu kwa sababu alikuwa anachukua mikopo ya kibiashara na kubana matumizi ndani ya nchi na kuwabana matajiri wenye pesa.

Vipi kwa sasa, inawezekana ikiwa inasemekana watu wanakula kwa urefu kamba zao?
 
Bora umemwambia ukweli huyo Njaa Pasco. Aache ujinga, awe objective.
 
Mwalimu Nyerere aliwagomea misaada kwa masuala ya msingi na siyo kama haya ya Sasa.
 
Magufuli akiwa Rais na mama mkoloni akiwa makamu wake walisema wanajenga Reli kwa pesa za ndani, kumbe walikuwa wanakopa kimya kimya mpaka ikaja kubainika waziwazi, Serikali ya ccm ni ombaomba misaada ni kopakopa hovyo hovyo bila haya maisha hayaendi kwa ccm, wakiona Ulaya wamekaza Uzi wataomba omba japan china na kwingineko kwa siri, lakini cha muhimu ni ccm waache uonevu manyanyaso ukandamizaji wa Demokrasia na kuwabambikia kesi za uongo chadema,
 
Mwalimu Nyerere aliwagomea misaada kwa masuala ya msingi na siyo kama haya ya Sasa.
Hawa ibirisi wa ccm wa sasa wamekumbatia vitendo haramu vya kishetani, hawapaswi kujilinganisha na ccm ya Nyerere
 
Utawala wa sasa una mapungufu mengi uonevu mateso manyanyaso kwa chadema ndiyo maana wazungu hawataki kuona pesa zao zinatumika kwenye uchakachuaji sugu wa ibirisi wa ccm ambao wana matokeo mifukoni kwenye uchaguzi wa maigizo na magumashi mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…