Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Hata kuishambulia ukraine mlisema ni mikwara tu na amefanya kweli, sidhani kama Russia itakubali kushindwa hii vita wakati ina silaha za maangamizi bora wakose wote, ndio kinachoenda kutokea, waangamizane kisha China iinuke kuwa super power, labda na sisi huku Afrika tutaweza kupiga hatua ya maendeleo kidogo
Hakuna cha maendeleo, wakijiona hawana mpinzani watafanya upumbabu mara kumi yahuu wanao wafanyia waTanzania kwenye makampuni yao.
 
Kazidiwa tactics za kivita mbwa huyo Putin anatishia nyau nani?

Muda wake unahesabika muda wowote majeshi ya Russia yatamuua magenerali wengi wamegoma kushambulia Ukraine baada ya vikwazo vilivyoathiri akaunti zao nje na biashara zao nje

Putin muda wowote magenerali wa jeshi la Russia wanamchinja mbwa putin
 
Back
Top Bottom