johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao wizara ya nishati ulikuwa imesaini na Adani Group kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha umeme nchini humo
Source Citizen TV