Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

KAMA MJUAVYO
MAJUZI RAISI ALIAGIZA MAKATABA WA ADAN AMBAO ALIPEWA KUSIMAMIA UWANJA WA AIRPORT MIAKA 30
KRETIKO KAMPUNI YA NISHATI MIAKA 30
MH RAISI HUYUHUYU ALISIMAMA HADHARAN KUSEMA HII KAMPUNI N SAFI HAINA SHAKA WALA UFISADI WOWOTE

AKAMSIMAMISHA WAZIRI WAKE WA KAWI MUTHAI NAKUSISITIZA HAINA SHIDA WAMECHUNGUZA NA KUJIRIDHISHA

WAKAENDA KWA WABUNGE WALAFI NAO WAKASISITIZA KAMPUNI YA ADAN N SAFI NA ITAWASAIDIA HAINA SHIDA YA UFISADI

GAFLA ANAELEKEA BUNGEN NA KUSEMA AMEJIRIIDHISHA BILA SHAKA KAMPUNI YA ADAN INA KAKESI CHA UFISADI NA WAHUSIKA WANATAFUTWA MAREKANI

SWALI LA KUJIULIZA
1.WAZIRI HUSIKA WA KAWI BADO YUPO ANATAKIWA KUONDOLEWA
2.MPAKA RAISI KUSIMAMA NA KUKIIRI KAMPUNI HAINA SHIDA KUNA WAPUUZI WALISHIRIKI KUFANYA UTAFITI NAHAO NAO WAONDOKE
3.
Watu waliotangqza tenda hioo bodi ivunjwee iweje mwekezaji mmoja tu anajitokeza nakushinda wakati kuna makampuni makubwa yana uwezo wa kusimamia airports na kretiko

wakenya amkeni ufisadii kila kona Mungu anazidii kuwaaibisha mmojammoja

kiufupi hawa ma raisi wanaojifanya wakoo karibu na Mungu wa kuogopa sana sana u trusted kabisa

amken wakenya

tukutane Nairobi Dec 8
 
na haoo haio mnawapa madaraka ya kutangaza tendaa mpya mapemaa iwezekanavyooo

shame sfrika
 
Back
Top Bottom