Hujitambui. Hapa tunaongelea Kenya wewe unaongelea Tanzagiza ambao raia asilimia 99 hawajui kilichoandkwa kwenye bajeti. Kenya walitafisiri Bajeti yao kwa Lugha 20 za makabila mbalimbali ndani ya Kenya, ndio maana muamko ulikuwa mkubwa Hadi vijijini. Sio huku hata utangulizi wa bajeti hatujui.Tanzania haiwezi kuwa Nchi ya kipumbavu kama Kenya ndio maana Wananchi waliwadharau na maandamano yenu fake.
Wapi mgao wa umeme na maisha magumu yaliyonadiwa na Machadema? 🤣🤣
Gen z sio type yako ww Gen zero kesho wanatinga ikuluRuto, anaakili sana, ameshawapumbaza Gen Z.
Wakati wanachukua Madeni wanaenda wakicheķa hadi Benki halafu wakati wa kulipa wanatukamua hadi Damu sisi Wananchi.Mungu atusamehe Africans kwa viongozi wetu kukosa akili kubwa ya kuamua mambo sahihi kwa wakati unaofaa.
Hayawezi kuisha maana Uchumi una hali mbaya 👇👇Rais Ruto kaamua kukubali yaishe, kakubaliana na shinikizo la kizazi cha maandamano, Rais kasema hawezi kusaini mswaada huo. Sasa tuone nia ya kizazi cha maandamano ilikuwa na kupinga mswaada au wanajambo jingine?
Pongezi kwa Rais Ruto kwa kutuliza mihemko ya kizazi cha maandamano.
Angalao sasa Biashara zifunguliwe Watu waingie Mzigoni kuna Jamaa yangu kanipigia anesema Nairobi hali ilikuwa imeanza kuwa mbaya sana.
Wakati wanachukua Madeni wanaenda wakicheķa hadi Benki halafu wakati wa kulipa wanatukamua hadi Damu sisi Wananchi.
Halafu huyu Mama Abduli anasema ameziba masikio.Mungu wabariki Gen Z na wafanyabiashara wa Kariakoo walioamua kusimama kwenye haki.