PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata kama ni kweli inaweza kuwa ni mambo mengine tu ya kawaida ya kila siku au labda hata kuporomoka kwa shillingi, changamoto za mchele na ndizi kuingia Malawi
Ni kweli kwa kua uwa asikilizwi sana watu uwa wanapuuza hotuba zake, pengine kaona apite na huu upepo
 
Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.

Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Kumbe ndio maana kachomoa kwenda VATICAN …anaogopa maswali ya viongozi wengine wa nchi …?
 
Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.

Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Mabo ya kifirauni in kabisa watu wasio na hofu ya Mungu
 
Usichokijua yote hayo atawasifia polisi kwa kwa kazi nzuri. Wapo watakaopandishwa vyeo. Halafu ndio mseme tunaenda kwenye nchi ya maziwa na asali. Sisi tunarudi nyuma kila siku hivi sasa tuko kile kipindi cha mababu zetu kufungwa minyororo kutupwa mabwepande
 
Hata kama ni kweli inaweza kuwa ni mambo mengine tu ya kawaida ya kila siku au labda hata kuporomoka kwa shillingi, changamoto za mchele na ndizi kuingia Malawi
Ni kujitenga na vitendo vya jana, hivyo ICC ni wengine si mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…