PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni aibu Sana Rais kupita na Kik ya watu kuteswa ili asikilizwe na kutizamwa na watu wengi

Mnaosema anaujumiwa si Kweli haya mateso na matukio yote yana baraka zake
 
Bila shaka atahutubia wana ccm wenzake sio taifa
 
Namuomba Mungu anipe moyo wa kunyamaza maana naona magufuli amezidiwa kwa mbali sana japo aliasisi yeye haya mambo lakini naona yeye sasa ni mtakatifu ukimlinganisha na aliyempokea kijiti.
 
HOTUBA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA TAIFA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
 

Attachments

  • IMG-20250425-WA0056.jpg
    329.8 KB · Views: 17
  • IMG-20250425-WA0057.jpg
    319.1 KB · Views: 19
  • IMG-20250425-WA0059.jpg
    318.3 KB · Views: 16
  • IMG-20250425-WA0058.jpg
    317.4 KB · Views: 16
Hivi huyu anatuonaje wa Tanzania ? Anamshikilia kiongozi wa upinzani kwa kwa tukokuwa na kosa na ni kinyume cha sheria ..... pili wafuasi wake wasiende mahakamani , wakienda anatoa amri wakamatwe na wauwawe ....harafu anakuja tena kusema hakuna aliyejuu ya sheria ....sasa ye anazifuata sheria gani ? Na bado miezi 7 ...tutegemee mauaji ya kutisha .
 
Mungu atupe rehema dunia yeke ila sisi wapangaji tunaigombania duh
 
Muungano wa kinyonyaji wa changu changu, chako changu! Haukibaliki. Ni wakati sasa kwa kila nchi kujitegemea kivyake kwa 💯%
 
HOTUBA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA TAIFA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
well done Dr Samia Suluhu Hassan 💪👊
 
nnilidhani atakuwa mfariji, kumbe humo humo mwa plisi
 
Mungu ambariki Rais wetu,,ila kwa Jana polisi wamekosea..Chadema Sisi CCM tuwajibu Kwa hoja,,,Hawatuwezi KATU.
Hivi wanao vunja sheria ni kina nani kama sio Ccm na serikali yao?? Tukatae huu upuuzi wa Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…