Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimeipenda sana hii, hakika.Hahahaha hakika Rais Samia siku zinavyoenda hotuba zake ni nzuri sana na zinavutia kusikiliza. Mungu ambariki sana Rais wetu mpendwa, tunampenda mno.
Rais Samia ana hekima nyingi na tele. Yaani hili jambo liwe kwa majeshi yote
Namuunga mkono.Hakika hii kitu ni nzuri mno. Hivi wewe askali unapata wapi jeuri ya kuota kitambi???
Aibuuuu sanaaaaaNamuunga mkono.
askari wetu wanatia aibu sana