Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
There is someone for everyone.Sisi weupe sasa itakuaje.
Thats why we are all created differently.
Someone somewhere will be wild over you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There is someone for everyone.Sisi weupe sasa itakuaje.
Mawaziri wenye vitambi nao wapelekwa mafunzo, inakuwa dharau kwa raia ambao hawana vitambi wakati wao ndio waajiri na hawa walioajiriwa na wananchi wanakuwa na vitambi.Rais Samia ana hekima nyingi na tele. Yaani hili jambo liwe kwa majeshi yote
😀😀😀😀Kuna watu huwa hawajiangalii kwenye Kioo sijui, kazi kusema wengine tu, …
Yeye kama Amiri jeshi mkuu hana kitambi eti.Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .
Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu.
Chanzo: SwahilTimes
Toa Maoni yako
Nilionana nae ili anipe sticker ya nenda kwa usalama.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kitambi ni matokeo ya ugonjwa unaoitwa insulin resistance.Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .
Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu.
Chanzo: SwahilTimes
Toa Maoni yako