Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

Hadi jwtz wapo wenye vitambi😂😂 Sasa ikitokea vurugu mechi sijua atakimbiaje!


Safi Mheshimiwa Rais warudishwe tu.
Mkuu achana na hao watu wa JWTZ ni wepesi mno. Kuna askari mmja alikua ni luteni ana kitambi kikubwa tu ila tulikua tunashindana nae mbio anatuacha mbali na mpira tunacheza nae ni mwepesi ajabu ila hao wengine kama trafiki na uhamiaji hamna kitu ni wazembe Sana.
 
Hii Nchi imejaaliwa Viongozi wenye vitimbwi na Askari wenye Vitambi.
 
Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .

Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu.

Chanzo: SwahilTimes

Toa Maoni yako
Iwe kwa majeshi yote mpk polisi
 
Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .

Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu.

Chanzo: SwahilTimes

Toa Maoni yako
Vitambi vitaisha vipi,wakati watu Wana deals za kupiga viza fake mpaka za billions of Tsh!!?wacha wanenepe ndio kula kwa urefu wa kamba
 
Kitambi hakitokani na maumbile ni mtindo wa maisha unaochagua mwenyewe.kanuni ni Moja tu,chochote unachoingiza mwilini kikiwa kikubwa kuliko unachotoa lazima ukipate.nikienda Kambi nyingi za majeshi naonaga officers mess ila sijaiona officer's fitness center.
 
Aibuuuu sanaaaaa
Wanakuwa ovyooo ovyooo
Wanakula kama wanahama dunian

Wanaomba rushwa sanaaaa ili wajaze hizo tumbo na supu asbhu na chapati nane hadi kumi kweliiii???
Huu ni ulafi hatariiii Sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nankatika vitu hatar kwa vitamb ni supu na chapat
 
Then wewe huoni Kama unang'ang'ana na yaleyale ya siku za nyuma!!!..nimekuuliza wewe ni military analyst,trainer?..Kama siyo umejuaje kwamba jeshi limekua dhaifu/Hali mbaya?..limepigana wapi ukajua?
Umesoma wapi hayo maneno ya "jeshi limekuwa dhaifu/Hali mbaya", kumbe hata hujui kusoma na kuelewa yaliyoandikwa?

Kiujumla ni kwamba, watu kama wewe ni washangiliaji tu wa kila jambo bila ya kuwa na uhakika mnachokishangilia au kusifu. Yale yale ya ushabiki wa Yanga na Simba.

Kiufupi, watu kama wewe ni mashabiki tu, hata mkijua mlisemalo hamna uhakika nalo.

Mbaya zaidi ni hapo mnapoweka ushabiki katika mambo yasiyohitaji ushabiki, kama unavyofanya hapa.
 
Back
Top Bottom