Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

Hapo ndiyo umuhimu wa Sheria Je,ni sheria gani inayokataza mtu Kuwa na kitambi?
Hata ikitungwa Leo bado haitawahusu Wale ambao walikuwa na vitambi kabla ya kutungwa Kwa sheria.

Kwa upande mwingine inanifurahisha kwasababu Mimi sina Kitambi lakini Nina Shaka kama Hapo Haki za Binadamu zimezingatiwa hasa katika eneo Ubaguzi au ndiyo maana wote wanaungana ili kuwe na katiba Bora?
Tena kawadhalilisha sana. Nina jamaa yangu ana maisha magumu kuliko yangu ila ana bonge LA kitambi. Wengine wana unene wa asili hasa WANYAKYUSA. ASEME TU ANA BIFU NA WANYAKYUSA!
 
Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga , wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .

Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu .

Chanzo : SwahilTimes

Toa Maoni yako
Watajitetea kwamba wana vitambi vya ukoo kama mvi tu.Hawakosi utetezi.😂😂😂😂
 
Ni majeshi yote,nyerere hakuruhusu hii
images.jpg
 
Hapo ndiyo umuhimu wa Sheria Je,ni sheria gani inayokataza mtu Kuwa na kitambi?
Hata ikitungwa Leo bado haitawahusu Wale ambao walikuwa na vitambi kabla ya kutungwa Kwa sheria.

Kwa upande mwingine inanifurahisha kwasababu Mimi sina Kitambi lakini Nina Shaka kama Hapo Haki za Binadamu zimezingatiwa hasa katika eneo Ubaguzi au ndiyo maana wote wanaungana ili kuwe na katiba Bora?
Jeshini unaenda kwa amri.Ukiambiwa ..."koplo konda ndani ya dakika tano"...!Unatakiwa uwe umekonda.Ni amri muraa!😂😂😂😂😂
 
Pole katoe hicho kitambi
Kauli ishatoka sasa huna namna

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi siyo askari na wala sina kitambi. Hoja yangu ni kutaka nchi iongozwe na viongozi wenye maono na siyo watoa matamko yasiyoleta ufanisi wowote. Siku zote tunapiga kelele kuwa jeshi la polisi linatakiwa kufumulia ili wabakie polisi wenye sifa na weledi hawa viongozi inawashinda nini kuelewa? Kwa akili zako unaona kabisa rais wa nchi ku-attack vitambi vya polisi badala ya ku deal na issue kubwa kubwa ni akili?
 
Huu Uzi umenikumbusha mbali Sana ase..
Mzee wangu alinichekesha sn siku moja tumesimama mataa tunasubiri kuruhusiwa tukamwona traffic anaongoza magari Ila ana bonge la kitambi😅😅..Mzee akasema mwone Yule dhambi za watu zimemwelemea kwenye tumboHadi anashindwa kuhema manina😅😅
akaendelea Kusema kijana wangu ukimwona mtu ana kitambi ujue huo ni mzigo wa dhambi za watu MUNGU anamuadhibu.. kitambi kibaya sana mwanangu😅😅

Kuanzia siku hiyo nilikuwa nikimwona Askari mwenye kitambi huwa nakumbuka hii kauli na kucheka Sana pekeyangu
Kuna watu hata kama wana hali mbaya wanakuwa na vitambi. Na isitoshe askari mwenye miaka eg 40 mpaka 50 kuwa na kitambi siyo lazima kumaanishe hafanyi mazoezi. Kama umewahi kuwa majuu utajua namaanisha nini.
 
Huu Uzi umenikumbusha mbali Sana ase..
Mzee wangu alinichekesha sn siku moja tumesimama mataa tunasubiri kuruhusiwa tukamwona traffic anaongoza magari Ila ana bonge la kitambi😅😅..Mzee akasema mwone Yule dhambi za watu zimemwelemea kwenye tumboHadi anashindwa kuhema manina😅😅
akaendelea Kusema kijana wangu ukimwona mtu ana kitambi ujue huo ni mzigo wa dhambi za watu MUNGU anamuadhibu.. kitambi kibaya sana mwanangu😅😅

Kuanzia siku hiyo nilikuwa nikimwona Askari mwenye kitambi huwa nakumbuka hii kauli na kucheka Sana pekeyangu
Aisee. Kwa hiyo na wewe uliamini na bado unaamini kabisa hiyo kauli ya baba yako kwamba ukimwona mtu ana kitambi ujue huo ni mzigo wa dhambi za watu na mwenye nacho anakuwa kaadhibiwa na Mungu?
 
Back
Top Bottom